Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Napingana na ww kwenye hili si wanawake wote.Ukitaka kumkimbiza mwanamume mpenda vya bure muombe pesa. Utakapoona unaombwa pesa at the beginning ujue unatishiwa nyau ili ukimbie...ukitoa zinaliwa na zinaombwa nyingine. Muonyeshe mwanamke kama uko serious hatakuomba pesa, na akikuomba jiamini kumwambia mapenzi/mahusiano si kuombana pesa, atakuheshimu na kukuangalia kwa upya kwamba uko serious.
Na si kwa wanaume wote. Binafsi nina kazi inayonipa kipato kizuri tu.
Tatizo wanawake ninaokutana nao , wanawaza kuwa nawatamani..kumbe nina malengo kabisa ya wazi. Mwingine nilishampeleka hadi nyumbani.
Kuhudumia si ishu kwangu.. nahudumia uchumba hadi ndoa. Tatizo ni pale mwanamke anapogeuza kuwa ww ndio mwajiri wake.
Anakufanya baba mzazi na wakati hata mahari hujatoa.
Kuna pattern flani hiv za uombaji pesa gold diggers huwa wanatumia sana.. na hiki kitabia ndio kipo mjini.
Mm kama mwanaume nilie serious ukinionyesha hivyo vitabia vya kuomba pesa bila mpangiloo... lazima niingie hofu.