Wanaume mnalalamika sana, tumewachoka!

Wanaume mnalalamika sana, tumewachoka!

Kwakweli lawana za wanaume zimekuwa too much!

Nilijua wanaume ni watu wasiokuwa na maneno mengi lkn hawa wa sasa wameundergo evolution.

Unajua ukiwa ni mtu wa lawama tu kilasiku watu wanakuzoea na wanachukulia kuwa ni tabia yako na wala hutendewi ubaya kihivyo.

Wanaume anzisheni mahusiano na wanawake sio mademu vinginevyo msijidhalilishe kwa lawana zisizoisha mnatia aibu.

Kwa kweli wamezidi mweeeh...... makeleleeee weeee kutwa humu... tumechooooka
 
Shida sio kupigwa mizinga, kama mizinga itaendelea kupigwa tu vizazi na vizazi. Shida ni kwamba wanawake wa kileo wengi hamjitambui. Waswahili wanasema ukitaka kula na kipofu usimshike mkono, sasa nyie hii methali, sijui nahau hii, sijui kitendawili hichi naona mmeshindwa kukitegua... Yaani kweli mwanamke unatongozwa leo, kesho unaanza kutangaza shida ni aibu, na kwa nini wanaume tusilalamike halafu sio wanaume wote wanapoonesha nia ya kuwahitaji basi eti wanataka kumwaga hiyo oil chafu. Wanaume wengine tunawapenda sana nyie wanawake na tuna nia njema ila tabia zenu mbovu mbovu ndio zinatutoa kwenye mstari.
 
Nahiyo ndo sheria nyepesi unataka K yakushinda nayo OA.

Unataka K yakupunguzia Ugumu KUBALI MIZINGA.

Sasa jamaa zangu hawa,unakuta anataka kupunguza shahawa za nyege, alafu ataki kupigwa mizinga na hataki kuhudumia ...Wataongea sanaa.

Vyabure havipo .

Kwa kweli hakuna vya bureee...Bure ghali
 
Shida sio kupigwa mizinga, kama mizinga itaendelea kupigwa tu vizazi na vizazi. Shida ni kwamba wanawake wa kileo wengi hamjitambui. Waswahili wanasema ukitaka kula na kipofu usimshike mkono, sasa nyie hii methali, sijui nahau hii, sijui kitendawili hichi naona mmeshindwa kukitegua... Yaani kweli mwanamke unatongozwa leo, kesho unaanza kutangaza shida ni aibu, na kwa nini wanaume tusilalamike halafu sio wanaume wote wanapoonesha nia ya kuwahitaji basi eti wanataka kumwaga hiyo oil chafu. Wanaume wengine tunawapenda sana nyie wanawake na tuna nia njema ila tabia zenu mbovu mbovu ndio zinatutoa kwenye mstari.

Mwanamke anayekuona uko serious wala hawezi kukuomba pesa leo leo, ila akikuona ni mtaka vya bure anaamua kukukimbiza kwa kukuomba pesa, anajua tu utakimbia na makelele kibaoo ... marioo wanapata tabu sana.... hakuna kubebwa ovyo.... mtajie pesa mbiiiooooo
 
Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika kwa kuwa hayo mmeyataka wenyewe. Unatafuta mwanamke ili uwe unamwaga grisi chafu hapo na unataka akuhurumie asikuombe chochote! Haiwezekani hata kidogo. Wewe kama unajiona unahitaji mwanamke kwa nini huoi? kwa nini usimchukuwe jumla? muweke ndani maisha yaendeleee....Lakini hii biashara ya malalamiko yasiyo ya msingi humu tumeichoka! Acha wawapige mizinga hadi mtie akili na kutafuta ufumbuzi ambao ni wa kubeba jumla. Hamjifunzi wa baba zenu? hamuoni wametulia na mama zenu?

Tofauti na hivyo mtaishia kulishwa malimbwata, kudharauliwa, kupoteza muda kuwaza maumivu ya kutendwa badala ya kuwaza na kupanga maisha. Ukweli ni kwamba simhurumii hata kidogo mwanamume anayepigwa mizinga! Pigweni tuuuuuuu.... good day kwa wapigwa mizinga wote
Kama sie tulivyowachoka na kuombaomba pesa kama matonya..!
 
Kwakweli lawana za wanaume zimekuwa too much!

Nilijua wanaume ni watu wasiokuwa na maneno mengi lkn hawa wa sasa wameundergo evolution.

Unajua ukiwa ni mtu wa lawama tu kilasiku watu wanakuzoea na wanachukulia kuwa ni tabia yako na wala hutendewi ubaya kihivyo.

Wanaume anzisheni mahusiano na wanawake sio mademu vinginevyo msijidhalilishe kwa lawana zisizoisha mnatia aibu.
Evolution ya wanawake machangudoa kupenda hela hujaiongelea maadam.
 
Kwa hiyo uko tayari kupigwa mzinga kwa kuwahudumia mademu kwa kutotongozwa??? ha ha haaaa basi msilalamike
Ni jino kwa jino, unanipa tumbua lako nalitumbua barabara kisha nakulipa hela, ukinipa tena nalitumbua ipasavyo nakulipa hela ,hivo tu
 
Haya, mm Nina elf 50..ni-pm location yako tukutane gest nikugegede short time, nkupe hela kila baada ya hapo kila mtu afate ustaarabu wake.

Au ww short time/bao moja unatoza sh ngap majoto
 
Mkuu acha kulalamika pia kuhusu wanaume! Haya mambo yakuwekana ndani bila kujiridhisha tabia,mwenendo na haiba ya mwanamke mwisho wake ni mbaya sanaaa

Wanaolalamika sio wanaochunguza tabia, ni wale wanaotaka vya bure. Kumchunguza mtu ni muhimu sana
 
Ni jino kwa jino, unanipa tumbua lako nalitumbua barabara kisha nakulipa hela, ukinipa tena nalitumbua ipasavyo nakulipa hela ,hivo tu

Kama issue ni kutumbua litumbua si unde kwa wauzaji matumbua? Kule hakuna malalamishi maana ni biashara. Lakini unaacha wauzaji unakuja kwa waliotulia tuuu unataka bure! ukipigwa kamzinga unatoa makelele weeee!
 
Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika kwa kuwa hayo mmeyataka wenyewe. Unatafuta mwanamke ili uwe unamwaga grisi chafu hapo na unataka akuhurumie asikuombe chochote! Haiwezekani hata kidogo. Wewe kama unajiona unahitaji mwanamke kwa nini huoi? kwa nini usimchukuwe jumla? muweke ndani maisha yaendeleee....Lakini hii biashara ya malalamiko yasiyo ya msingi humu tumeichoka! Acha wawapige mizinga hadi mtie akili na kutafuta ufumbuzi ambao ni wa kubeba jumla. Hamjifunzi wa baba zenu? hamuoni wametulia na mama zenu?

Tofauti na hivyo mtaishia kulishwa malimbwata, kudharauliwa, kupoteza muda kuwaza maumivu ya kutendwa badala ya kuwaza na kupanga maisha. Ukweli ni kwamba simhurumii hata kidogo mwanamume anayepigwa mizinga! Pigweni tuuuuuuu.... good day kwa wapigwa mizinga wote
Kupigwa mzinga ni jambo moja, kukubali kupigwa mzinga ni jambo lingine. By the way wewe ni me au ke?
 
Back
Top Bottom