majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa mkuu Hilo jina lakoUna nyota ya kupendwa na wanaume wa kulalamika.
Hiyo sentensi unayosema "ukipigwa kamzinga" ndio kujiuza kwenyewe huko, tofauti yake ni kwamba hujipangi barabarani kama wale wajipangaoKama issue ni kutumbua litumbua si unde kwa wauzaji matumbua? Kule hakuna malalamishi maana ni biashara. Lakini unaacha wauzaji unakuja kwa waliotulia tuuu unataka bure! ukipigwa kamzinga unatoa makelele weeee!
Pole sana. Wabadilishe sasa wakati ndio huu.Wamenichosha kwa kweli ha ha ha haaaa
Limefanyaje?Hahaa mkuu Hilo jina lako
Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika kwa kuwa hayo mmeyataka wenyewe. Unatafuta mwanamke ili uwe unamwaga grisi chafu hapo na unataka akuhurumie asikuombe chochote! Haiwezekani hata kidogo. Wewe kama unajiona unahitaji mwanamke kwa nini huoi? kwa nini usimchukuwe jumla? muweke ndani maisha yaendeleee....Lakini hii biashara ya malalamiko yasiyo ya msingi humu tumeichoka! Acha wawapige mizinga hadi mtie akili na kutafuta ufumbuzi ambao ni wa kubeba jumla. Hamjifunzi wa baba zenu? hamuoni wametulia na mama zenu?
Tofauti na hivyo mtaishia kulishwa malimbwata, kudharauliwa, kupoteza muda kuwaza maumivu ya kutendwa badala ya kuwaza na kupanga maisha. Ukweli ni kwamba simhurumii hata kidogo mwanamume anayepigwa mizinga! Pigweni tuuuuuuu.... good day kwa wapigwa mizinga wote
Hiyo sentensi unayosema "ukipigwa kamzinga" ndio kujiuza kwenyewe huko, tofauti yake ni kwamba hujipangi barabarani kama wale wajipangao
Ni kama vile kupokea rushwa kisha unaulizwa unakataa kwa kusema nimepokea lakini sio rushwa ni takrima
[emoji3] [emoji3]Usiniwekee maneno nje ya uzi wangu. Nimesema nimechoshwa na makelele ya wapigwa mizinga.... jamani kaoeniiii
Inakuchukua muda gani kujua kuwa mwanaume yupo serious na wewe? Kupenda vya bure ni udhaifu wa mtu na hii ipo kwa jinsia zote. Wanawake wa kileo acheni kuendekeza njaa!
Kwani hujui sehemu wanakojiuza? nenda huko kimya kimya bila makelele
Evolution ya wanawake machangudoa kupenda hela hujaiongelea maadam.
Una-support kupiga vizinga wanaume, sasa wewe una tofauti gani na wale wadada wanaosimama barabarani kujiuza? Kwenye hiyo elf 50 wote tunapata tunachokitaka mimi napata sex, wewe unapata hela majoto
there is no way wewe umeolewaa....kama umeolewa mmeo anajutaaa anatamani apewe nafasi ya kuchagua mkee mwinginee[emoji28] [emoji28] [emoji28]Nimefanya utafit mdogo tu humu nimegundua wanaume mnalalamika sana kuhusu wanawake kuwaomba pesa, kuwapiga mizinga, kutotosheka na mnachowapa na mengine kibao. Jamani eee hebu acheni kulalamika kwa kuwa hayo mmeyataka wenyewe. Unatafuta mwanamke ili uwe unamwaga grisi chafu hapo na unataka akuhurumie asikuombe chochote! Haiwezekani hata kidogo. Wewe kama unajiona unahitaji mwanamke kwa nini huoi? kwa nini usimchukuwe jumla? muweke ndani maisha yaendeleee....Lakini hii biashara ya malalamiko yasiyo ya msingi humu tumeichoka! Acha wawapige mizinga hadi mtie akili na kutafuta ufumbuzi ambao ni wa kubeba jumla. Hamjifunzi wa baba zenu? hamuoni wametulia na mama zenu?
Tofauti na hivyo mtaishia kulishwa malimbwata, kudharauliwa, kupoteza muda kuwaza maumivu ya kutendwa badala ya kuwaza na kupanga maisha. Ukweli ni kwamba simhurumii hata kidogo mwanamume anayepigwa mizinga! Pigweni tuuuuuuu.... good day kwa wapigwa mizinga wote
Wanawake wanaojitambua wapo wengi tu tatizo mnakomaa na wadangaji sasa acha mnyooshwe.
Sijui kama umeuelewa uzi wangu kama nilivyokusudia. Kupigwa mzinga ni maamuzi yako huna haja ya kupiga kelele, la kama hutaki kupigwa mzinga oa ili uishi bila bugudha..... vya bure hakunaaa... kama unafikiri kuoa ni gharama basi kutooa na kutaka kusuuza dushe lako ni gharama zaidi. sasa amua kuoa au kupigwa mzinga kimya kimya.