Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

🤣🤣🤣🤣🤣Umetisha sana
 
Wale wanaume wacheza vicoba muda wa umbeya unapoanza na wewe upo? Muda wa kuanza kufata vyombo vya mwajuma baada ya kushindwa kulipa demu na ww unakuwepo? Muda wa kuanza majungu na kusemana na wewe upo ukiinua vidole juu na kucheka kicheko cha kikahaba na wewe upo, unapochambwa kwa kuchelewa kuleta marejesho huwa mnafanyaje.... Dah haya mambo kwa sisi wanaume malijali hii inshu ni ngumu, na kwaninu mwanaume ushindwe kutunza kibunda chako... Vicoba pia vinaweza kuwa kisababishi cha ushoga na haiba za kike.
 
Wewe ni maskini wa fikra hadi mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…