Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Huo ni mchezo bhana, Vicoba ni ile kuweka Hisa, na vingine mtakavyojipangia. Ukipata shida unakopa na mwisho wa mwaka mnagawana chenu.Hebu elezea vizur mkuu ni mnazikusanya halaf mnakopeshana? Maana ukisema mnakua mnachangiana ni mzunguko wa mwezi had mwezi sasa hela yakufanyia kitu haraka inakuaje hapo au mfano mpo sita na wewe ni wa sita si unasubiri hadi ufikiwe? sasa kusubiri ufikiwe si ungezitunza mwenyewe tu kwa nidham. Kuliko risk za huko maana wabongo tunajuana, Au mimi naelewaje?
Ishu sio kinachopatikana mwisho wa mwaka, iishu ni uwezekano wa kukopa na kulipa kwa urahisi.
Benki 3M inanisotesha miaka minne wakati kwenye Vicoba nakopa 3M hata mara nne ndani ya mwaka.
Ni hao watu wa benki ndo wanafungua vinyuzi kudhalilisha vicoba ila sisi huku mtaani vinatusaidia kuliko benki zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app