Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

Hebu elezea vizur mkuu ni mnazikusanya halaf mnakopeshana? Maana ukisema mnakua mnachangiana ni mzunguko wa mwezi had mwezi sasa hela yakufanyia kitu haraka inakuaje hapo au mfano mpo sita na wewe ni wa sita si unasubiri hadi ufikiwe? sasa kusubiri ufikiwe si ungezitunza mwenyewe tu kwa nidham. Kuliko risk za huko maana wabongo tunajuana, Au mimi naelewaje?
ndo ipo hivo, au mniwekee mimi
 
Vicoba, unachangia laki moja end of the day unachukuq ile ile laki moja yako.

Mwanzo nilijua kuna kafaida kumbe ni kuweka pesa tu na mwisho wa siku unachukua ileile hela yako.

Kwangu naonaga hivi vidude havina faida zaidi ya kumtesa mhusika.
 
Kwasababu kitamfanya mwanaume ashindwe kusimamisha?

Maana kwa ninavyojua mwanaume mashine 😃
Yaani hapana, na ww unaenda kaa kaa vikao na akina mama. Wanaanza kukuona kama mwenzao. Kila kitu muachie ahangaike mkeo. Jiunge ila kwa mgongo wa mkeo.
 
Nitakuelewesha vizuri utaelewa achana na mleta mada hajui umuhimu wa vicoba

Kwenye vicoba akiba yako ndio inakubeba kwa mfano umekwama labda una akiba ya mill 3 unaweza kukopa mill 9 kwenye kicoba chetu unakopeshwa mara 3 ya akiba yako

Na wanaume wengi wanakopewa na wake zao
Hii kukopewa na wake ndio naona wengi wanafanya yaani anajiunga kikoba kwa mgongo wa mke wake.

Sio yeye moja kwa moja.
 
...Sisi wanaume tuna siri ambayo wanawake hawaijui... Hata humu siwezi kusema... Only Legends wanafahamu...
 
...Kuna shemale yupo kahama anadai vicoba ni vya wanawake... Anavuta fegi mbaya... Tilia mashaka mwanamke anaevuta fegi mixer na vilevi kwa sana
 
...Bila kuwasahau wanaume wanaosuka nywele na kuvaa vipini puani na hereni masikioni... Nao wanatia aibu...
 
Aseee nacheza kupitia wife na sijutiiii so far Mimi ndie mwenye mzigo mkubwaa...... sijui nn kinaendelea huko Wala sijawahi kwenda Wala wanaocheza siwajui.....ila nkitaka 1m naipata fasta tu na mambo yangu yanasonga
 
Back
Top Bottom