Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

Huo ni mchezo bhana, Vicoba ni ile kuweka Hisa, na vingine mtakavyojipangia. Ukipata shida unakopa na mwisho wa mwaka mnagawana chenu.

Ishu sio kinachopatikana mwisho wa mwaka, iishu ni uwezekano wa kukopa na kulipa kwa urahisi.

Benki 3M inanisotesha miaka minne wakati kwenye Vicoba nakopa 3M hata mara nne ndani ya mwaka.

Ni hao watu wa benki ndo wanafungua vinyuzi kudhalilisha vicoba ila sisi huku mtaani vinatusaidia kuliko benki zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nitafute muda nijielekeze vizuri sijui wapi nitasoma vizuri niielewe inafanyikaje
 
Milion 6 embu acha kuwatisha watu hapa ikute unweka elf 6 unasema milion 6

Kwa ujumla vikoba kwa wanaume haijakaa sawa
 
Milion 6 embu acha kuwatisha watu hapa ikute unweka elf 6 unasema milion 6

Kwa ujumla vikoba kwa wanaume haijakaa sawa
Wewe ni mpiga ramli au njaa zinakufanya uwaze kimasikini hivyo
Kama kwako ni hela kubwa sana wengine hiyo tunaenda Majorca kwa wiki 2 na zinaisha

Pole sana najua umasikini ni laana ila pambana mzee 6m nazimudu sana ni £2000 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…