Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

Hivo vihela vya kujazia kikundi vinatoka sehemu gani mkuu
Watu wanapigwa faini ukichelewa kupeleka rejesho unakula fine usipohudhuria kikao unapigwa faini ushaelewa sasa hizo ndio zinajaza fuko la Pesa la kikundi hicho cha Vicoba ukiongea na mwekahadhina akukopeshe unakopeshwa Ila lazima urudishe usiporudisha kwa wakati unapigwa faini ukichelewa kurudisha unapigwa faini
 
Kumbe[emoji23],

Na hizo za mfuko si mnagawana
 
Ila wanaume mna limits za kingese

Shida ya vicoba ni ipi
Huwa mnaliwa sana sababu ya vikoba mi mke wangu nilimwambia nikisia vikoba nakunyonga


Mpaka sasa mwaka 12 huu sijamuona

Wanaliwa sana kupata hela ya marejesho
Juzi sista angu kataitiwa laki 5 na ushee rejesho bora akaniambia kaka ake nikaclear vipi angewafata wahuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga, Sasa mwanaume anaanzaje kuwaza marejesho
Kwani unavyo kopa benk marejesho hakuna? Unajua sisi watu weusi tunajikweza na hatuna kitu unakuata mtu kasomweshwa kwa hela ya gongo basi akipata vihela nimasengenyo tu kwa wengine. Kikubwa mtu ni kupambana kukata chain ya umaskini na kikubwa ni kuepuka wizi na dhuluma.
 
Kama unahitaji hela ya kufanyia kitu haraka nafikiri hii ni njia salama kwa wasioamini Riba
Unachukua unafanyia wazo lako halafu unaendelea na mengine
Ila nasema tu kama una shida ya haraka ni salama zaidi haina riba
Tatizo watu wanachanganyq upatu na vicoba. Vikoba vina utaratibu unaoeleweka na kuna watu wanakopa hadi 20m kwenye vicoba na wanasomesha watoto.
 
Kwa kujiwekea mipaka ya hovyo ndio maana tunakufa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…