mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Kwakweli, kuna watu wanaweka hisa kila week laki 5,Bora umeelewa Hilo Kuna vicoba wanacheza had million 20 had 30 na vipo wapo wanacheza upatu wengine wananunuliana magari kifupi ni Level ya maisha ulonayo tu sio ishu ya kusema hakina maana
Na kuna sisi tunaosema wanaume wanaocheza vicoba hawana hela[emoji23][emoji23]