Wanaume mnaojifanya mpo bize sana na kazi mnagongewa sana wake zenu

Wanaume mnaojifanya mpo bize sana na kazi mnagongewa sana wake zenu

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Habari za wakati huu wapendwa.

Naomba nitoe ujumbe mfupi kwa wanaume wote ambao mpo kwenye ndoa na wake zenu na umepata uhamisho au ni mtu ambaye kazi inakuweka bize sana.

Kama umepata uhamisho hama na mkeo ukapange huko huko muishi wote kama n mtu wa safari jitahidi kwa mwezi hata mara 3 ukutane na mkeo sisi vijana wa hovyo tunakula sana wake zenu mkiondoka na matusi juu tunawatukana.

Kuna watu watabisha ila naomba nije na ushuhuda kabisaaa ili muamini.

1)kuna jamaa ni mwanajeshi ni mtu wa kusafiri sana miezi miwili hadi mitatu bila kuonana na mkewe aisee namwambia tu mimi ndio huwa namkatabati mkewe na namfanya atulie kila wiki naenda kwake na namkula mkewe kwenye kitanda chake sijisifu ila mwanamke nae kutokea kunielewa. Halafu mwanamke ni mjanja namkula kila siku ila jamaa amejua kuchagua mwanamke anawatoto watatu ila bado mali inaita kabisaa. Na jamaa amefunga ndoa kabisa halali ila ndio ivyo mimi nimekuwa kitulizo cha mkewe. Huyu nilipomuuliza kaniambia mumewe yupo Bize na kazi hata akirudi hapigi kisawa sawa

2)Huyu mwingine ni mfanyabiashara wa mchele nae anamke si haba namsaidia sana kumtuliza mkewe huyu yeye kapoteza mvuto kwa mkewe anajali biashara zake kuliko furaha ya mkewe. Mwanamke anahangaika tu na mwenyewe namsaidia sijisifu hapana ila nataka mjue kwamba nyege mbaya na hazina mwenyewe. Huyu alipojikoroga zaidi alimuomba mkewe kisamvu cha kopo akanyimwa unyumba hadi leo.

3)kuna mwanajeshi alienda Congo kurudi kakuta mkewe anamimba katika kuuliza mwanamke kafunguka alizidiwa.

Hao ni baadhi tu ila kiukweli wanaume mliooa na mnaotarajia kuingia kwenye ndoa jitahidi kuwa na ukaribu na mkeo hasa kwenye 6×6 ila kama mtapuuzia hilo mtagongewa sana wake zenu na vijana mtaani mabosi zenu au hao mnaowaita marafiki zenu.

Kuoa sio lazima na msiniulize najiamini vipi hadi nakula mke wa mwanajeshi chumbani kwake.

Ila wanaume mjifunze kama umepata uhamisho hama nae vinginevyo mtalea watoto sio wenu kila siku.

Yangu ni hayo mkinichongea kwa mwanajeshi aweke fumanizi poa tu.
 
Habari za wakati huu wapendwa

Naomba nitoe ujumbe mfupi kwa wanaume wote ambao mpo kwenye ndoa na wake zenu na umepata uhamisho au ni mtu ambaye kazi inakuweka bize sana.
Ukiwaza hivyo hutafanya kazi mwana mke ni mtu wa ajabu anaweza kugogwa popote hata ukiwepo beneti nae, mwanamke halindwi kabisa na usiwazie kiumbe hicho cha kike hutamove on utakwama.
 
Kuchepuka ni tabia tu ya mtu.. haihusishwi na mazingira yoyote.
Sometimes it's not a choice, Mazingira yanaweza kushawishi mtu ambaye hakuwahi kukusudia kuchepuka akachepuka. Anguko la dhambi wakati mwingine huletwa na mazingira magumu yanayoku_subject kwenye kutenda dhambi hiyo. Dawa kubwa ni kuwa mbali na mazingira hayo, ikiwemo mwenza kutimiza mahitaji ya kingono, kuwa karibu na mwenza hata unapokuwa mbali.
 
In ukweli kwa ndanj yake jamaa asbh naeongea nae kuhusu hbr ya mke wa rfk ake sas Yule jamaa Ni finance manager wa. Kampuni kubwa app dar es Salma Yuko busy kweli na kaoa mke mzur San kamuacha uko dodoma sijui Hali yake ikoje

Nije kwako hutakula huyo mwana mke HV HV bill wewe kuwekewa mtego natabiri ukatili utakao fanyiwa siku za usoni
 
Sometimes it's not a choice, Mazingira yanaweza kushawishi mtu ambaye hakuwahi kukusudia kuchepuka akachepuka. Anguko la dhambi wakati mwingine huletwa na mazingira magumu yanayoku_subject kwenye kutenda dhambi hiyo. Dawa kubwa ni kuwa mbali na mazingira hayo, ikiwemo mwenza kutimiza mahitaji ya kingono, kuwa karibu na mwenza hata unapokuwa mbali.
Nielezee mazingira yanayofanya mtu kuchepuka.
 
Back
Top Bottom