Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Naomba UWAKUMBUSHE.Hivi kwani bado maendelea kuoa...!!
Mmesahau kikao cha mwisho tulikubaliana nini hapa ndani..??
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba UWAKUMBUSHE.Hivi kwani bado maendelea kuoa...!!
Mmesahau kikao cha mwisho tulikubaliana nini hapa ndani..??
Hili ni tangazoHabari za wakati huu wapendwa
Naomba nitoe ujumbe mfupi kwa wanaume wote ambao mpo kwenye ndoa na wake zenu na umepata uhamisho au ni mtu ambaye kazi inakuweka bize sana.
Choice kwa mwanamke? Kwa mwanaume ni nature. LohStraight and clear. Kuchepuka ni choice.
Kwanini ukanywe bia na mke wa mtu?
Sasa unatakaje? Kila mwanaume aache kazi akae na mke wake ndani.
Maisha ni very complex, huwezi kufanya kila kitu kwa balance sawa. Ila nikiambia kati ya mwanamke na kutafuta maisha, nitachagua kutafuta maisha. Wanawake hawajawahi kuisha, ila nguvu za kutafuta zinaisha.
Kuna mahali nimeandika jinsia?Choice kwa mwanamke? Kwa mwanaume ni nature. Loh
Acha umalayaJidanganye tu
Nimerefer wengi wanaosemaga kuchepuka kwa mwanaume ni nature yao wameumbwa hivyo. Sio wewe umesemaKuna mahali nimeandika jinsia?
Nilichoandika nimeandika kwa wote, i dont care about jinsia
Wmbu soma vizuri before reply
Umerefer to a wrong person. Binafsi sina hiyo vision or that type of ideasNimerefer wengi wanaosemaga kuchepuka kwa mwanaume ni nature yao wameumbwa hivyo. Sio wewe umesema
Adam alipomwacha Hawa dakika chache tu nyoka akafanya yakeSometimes it's not a choice, Mazingira yanaweza kushawishi mtu ambaye hakuwahi kukusudia kuchepuka akachepuka. Anguko la dhambi wakati mwingine huletwa na mazingira magumu yanayoku_subject kwenye kutenda dhambi hiyo. Dawa kubwa ni kuwa mbali na mazingira hayo, ikiwemo mwenza kutimiza mahitaji ya kingono, kuwa karibu na mwenza hata unapokuwa mbali.
Sasa unafaidi kitu gani?Hakuna cha tabia hapo nyege mbaya kuchepuka sio tabia yan ukiona mtu anachepuka hebu anza kuchunguza kuanzia ndani kwenye ndoa lazima kuna chanzo