Wanaume mnaojifanya mpo bize sana na kazi mnagongewa sana wake zenu

Wanaume mnaojifanya mpo bize sana na kazi mnagongewa sana wake zenu

Kwa jinsi ulivyoelezea kuna uwezekano hata kusimamisha husimamishi..
 
Sijidanganyi. Ni choice. Hakuna cha kusema nyege hiv nyege vile. Usipoendekeza hiyo hali you will stay clean.
Nakubaliana kumtokumjali mwenzako kuna weza kusababisha hilo.

Lakin kama mwenzako anakujali anahudumia anakupenda? Unajiendekeza ya nn?
Mtu kama unatamaa unatamaa tu
Mimi nimesema usipomjali kuna uwezekano mkubwa wa kugongewa
 
Nielezee mazingira yanayofanya mtu kuchepuka.
Umewahi kusema uongo maishani mwako? Unadhani ungekuwa trafiki kamwe usingepokea hongo? Kuchepuka ni uovu kama ulivyo uovu mwingine. Mazingira yanayopelekea uovu mwingine kutendeka yapo pia yanayopelekea kuchepuka kutokea. Kama hukuolewa bikira jua pia unaweza kuchepuka vulevile.

Nimeongea kwa kutumia mifano,sijataka kukutajia mazingira specific, mwerevu atanielewa. Tambua kuwa yeyote ambao ameolewa akiwa si bikira au ameoa akiwa si bikira, akiwa subjected kwenye mazingira ya ushawishi mkubwa anaweza kuanguka tena, ijapokuwa si dhamira yake.
 
Sometimes it's not a choice, Mazingira yanaweza kushawishi mtu ambaye hakuwahi kukusudia kuchepuka akachepuka. Anguko la dhambi wakati mwingine huletwa na mazingira magumu yanayoku_subject kwenye kutenda dhambi hiyo. Dawa kubwa ni kuwa mbali na mazingira hayo, ikiwemo mwenza kutimiza mahitaji ya kingono, kuwa karibu na mwenza hata unapokuwa mbali.
Mkuu hebu kula [emoji481] kwa [emoji200] kwanza nakuja kulipa
 
Lakini pia wanaowananihii wake za watu wanaweka naniliu zao rehani🐒
 
Usemacho ni kweli tupu;kuna mwanamke wa mjeshi hapa kitaa kanifungukia kwamba "Kilwa94 nakupenda" na mmewa anafanya kazi wilayani huko hivyo huwa anakuja kila baada ya wiki 2.Mimi tu namchelewesha kwenda kumpelekea ukuni ila dada wa watu anataka hata saivi niende nikamzibe kitobo.
 
Umewahi kusema uongo maishani mwako? Unadhani ungekuwa trafiki kamwe usingepokea hongo? Kuchepuka ni uovu kama ulivyo uovu mwingine. Mazingira yanayopelekea uovu mwingine kutendeka yapo pia yanayopelekea kuchepuka kutokea. Kama hukuolewa bikira jua pia unaweza kuchepuka vulevile. Nimeongea kwa kutumia mifano,sijataka kukutajia mazingira specific, mwerevu atanielewa. Tambua kuwa yeyote ambao ameolewa akiwa si bikira au ameoa akiwa si bikira, akiwa subjected kwenye mazingira ya ushawishi mkubwa anaweza kuanguka tena, ijapokuwa si dhamira yake.
Sawa, kila mmoja abaki na mtazamo wake.
 
Dawa yake !! akichepuka tu! nikagundua, simrogi la hasha mie namuua kiulainiii!!! bila kujulikana!!.... akaliwe na nyenyere vizuri huko!!! sitanii!! ......naniliu ile tamu sana aseee!! asikwambie mtu!!

hasa akiwa na kinaniliu lirefuuu? mweee wananimalizaga sana!! halafu ikaliwe na fara tu!! Nawambiaga kabisaa labda ahame! taatibu bila shaka! lkn ufanywe uniletee!! lazima utazimika tu! labda km hujanroga kukupenda!
 
Kwanza kuoa ni scam sio jambo la msingi sana kama watu wanavoffikiri,,,sidhauri kuoa....

Ila mkuu duniani kuna vipaumbele vingi sana mabavyo mtu anaweza kuvifanya,, huwezi kaa kila wakati unawaza mke wako tu asiliwe na hukumkuta bikira.. hio gender ili asikazwe nje ni awe ameamua mwenyewe....hakuna jambo utafanya kumzuia asiliwe...

Hio tabia ya kula wake za watu ipo siku utakuja kutusimulia humu... Omba tu wasisahau mafuta ili usichubuke..Watu wameharibika sana...usicheze na wake zao ukajina mjanja
 
Back
Top Bottom