Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kwanini mke wa mtu uwe bar tena usiku peke yako, acha waliwe tu!Kwanini ukanywe bia na mke wa mtu?
Ndugu mwenyekiti kuna wajumbe huwa hawahudhurii vikao. Wao kila siku ni absent. Ndio tatizo linapoanzia.Hivi kwani bado maendelea kuoa...!!
Mmesahau kikao cha mwisho tulikubaliana nini hapa ndani..??
Sijidanganyi. Ni choice. Hakuna cha kusema nyege hiv nyege vile. Usipoendekeza hiyo hali you will stay clean.Jidanganye tu
Mimi nimesema usipomjali kuna uwezekano mkubwa wa kugongewaSijidanganyi. Ni choice. Hakuna cha kusema nyege hiv nyege vile. Usipoendekeza hiyo hali you will stay clean.
Nakubaliana kumtokumjali mwenzako kuna weza kusababisha hilo.
Lakin kama mwenzako anakujali anahudumia anakupenda? Unajiendekeza ya nn?
Mtu kama unatamaa unatamaa tu
Umewahi kusema uongo maishani mwako? Unadhani ungekuwa trafiki kamwe usingepokea hongo? Kuchepuka ni uovu kama ulivyo uovu mwingine. Mazingira yanayopelekea uovu mwingine kutendeka yapo pia yanayopelekea kuchepuka kutokea. Kama hukuolewa bikira jua pia unaweza kuchepuka vulevile.Nielezee mazingira yanayofanya mtu kuchepuka.
Mkuu hebu kula [emoji481] kwa [emoji200] kwanza nakuja kulipaSometimes it's not a choice, Mazingira yanaweza kushawishi mtu ambaye hakuwahi kukusudia kuchepuka akachepuka. Anguko la dhambi wakati mwingine huletwa na mazingira magumu yanayoku_subject kwenye kutenda dhambi hiyo. Dawa kubwa ni kuwa mbali na mazingira hayo, ikiwemo mwenza kutimiza mahitaji ya kingono, kuwa karibu na mwenza hata unapokuwa mbali.
....Lakini pia wanaowananihii wake za watu wanaweka naniliu zao rehani🐒
Sawa, kila mmoja abaki na mtazamo wake.Umewahi kusema uongo maishani mwako? Unadhani ungekuwa trafiki kamwe usingepokea hongo? Kuchepuka ni uovu kama ulivyo uovu mwingine. Mazingira yanayopelekea uovu mwingine kutendeka yapo pia yanayopelekea kuchepuka kutokea. Kama hukuolewa bikira jua pia unaweza kuchepuka vulevile. Nimeongea kwa kutumia mifano,sijataka kukutajia mazingira specific, mwerevu atanielewa. Tambua kuwa yeyote ambao ameolewa akiwa si bikira au ameoa akiwa si bikira, akiwa subjected kwenye mazingira ya ushawishi mkubwa anaweza kuanguka tena, ijapokuwa si dhamira yake.