Wanaume mnaojifanya mpo bize sana na kazi mnagongewa sana wake zenu

Mimi nakwambia kweli kwamba kuchepuka Kwa mwanamke ni tabia ya mtu, sisi wote ni watu wazima tunaelewa, wewe unaonekana ni kijana sana, nasema ya kwamba ukioa wanawake ambao hata kabla ya kumuoa unaijua tabia yake ni mtu wa kuluka luka na wanaume utagingewa kweli, maana sasa hvi Kuna watu wanaoa mke huku wakiwa hawamuamini na kweli haaminiki ni mjanja mjanja, unategemea nini? Lakini Kuna wanawake ni watulivu wanachojua ni mume kaenda kwenye utafutaji na atarejea nyumbani basi, hawana hizo tabia hata kidogo. So usipanikishe watu hapa na walio wengi wako mikoani kwenye utafutaji na wameacha familia mbali eti kila asiyekuwepo nyumbani kikazi basi mke wake anagongwa, siyo kweli
 
Kinachowaharibu wake zetu ni mashoga zao,leo hii nikimhitaji mke wa mtu namtafuta shoga yake akishanielewa tayari nishampata.
 
Harafu. Ukishawakula! Nini kinafuata,Salio linaongezeka kwenye akaunti yako?watoto na ndugu zako maisha yao yanaboreka?ulikuwa unapanga sasa unamiriki nyumba 7!!akili za kiafrika shida sana.
 
Nielezee mazingira yanayofanya mtu kuchepuka.
Ngoja nikupe mfano kuna nyumba nilikuwa naishi ambapo kuna mpangaji alikuwa na mke mzuri sana kibinadamu nilimtongoza akanikatali kwa sababu kadhaa ikiwamo hawezi fanya hivyo kwani mmewe anampatia kila kitu pia akasema tunakaa nyumba moja ni hatari kwa maana ya ukaribu lakini alinambia pia kuwa huo ni uzinifu hawezi tenda dhambi.

Kuna kipindi mmewe alienda kozi ya mwaka mmoja na ilikuwa mbali fikiria jamaa alikuwa anasoma dsm na aliko mkewe ni Magu mwanza kiukweli yule bidada alijikuta mpweke sana kila baada ya miezi 3 hadi 4 ndipo jamaa alikuwa anakuja akaanza urafiki na mke wangu kiasi kwamba kila muda alikuwa kwangu.

Kuna siku nikakuta missed call yake nikampigia akasema alikuwa anampigia mwingine alikosea, kuna siku alinitumia sms ya kimahaba lakini alinipigia na kusema alikuwa anamtumia mmewe ikafika kwangu bahati mbaya, siku moja nilitoka jobu nikamkuta sebleni kwangu nikamuuliza mke wangu yuko wapi akasema hajarudi clinic (alikuwa mjamzito) akanyanyuka kuondoka kwenda kwake nikampiga na kofi la kizushi kwenye tako lake kubwa,
Akasema hali yake si nzuri na nisimuamshie yaliyolala nikamshika kiuno akanambia siyo kwamba hataki ila anamuogopa shoga yake (mke wangu) kwakuwa nyumba ina geti nikatoka kuliegesha niliporudi nikakuta kashika nguo za ndani akanambia niisogeze sketi kweli nikaisogeza pale pale sebleni nilimpa kitu akapia viwili faster nami nikagonga moja nikamwambia arudi kwake.

Soon mke wangu akaenda kujifungua kwao ile nyumba ni apartment mbili yaani ni familia yangu na familia ya huyo mdada kiukweli huu mzigo niliula sana kwani kwangu nilihama kabisaaa hasa usiku nilimlala yule mwanamke hadi basi sijui kama kuna style hatukuitumia.
Baadaye nikamalizia nyumba yangu nikahama pale kabla jamaa hajarudi baadae nikahama kikazi nikabeba familia yangu tukaondoka maeneo hayo ndo ukawa mwisho na huyo dada HUYU DADA ALINIPA KWAKUWA HAKUPATA HUDUMA YA MUME MUDA MREFU KWANI NILIWAHI MTONGOZA NA ALIKATAA KAMA NIKIVYOELEZA HAPO MWANZO NA ALIKUJA KUNIPA KWENYE MAZINGIRA YASIYOTEGEMEWA KARIBU MWAKA NA NUSU TANGU NIMTOBGOZE.
Kwa anaedhani KE hutoka nje kwa hulka zake hebu wawaulize wapenzi wao kiuhalisia wasikie wanasemaje.
 
Baltasar
 
Aseee nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…