Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

sasa kwa sababu ya mwanamke wake anatulazimisha na sisi tuwaponde wa kwetu??
 
Kwa hiyo kuwaambia waache umalaya ili wasiwe masingle mother ni kuwadhalilisha?
Kuwaambia wanawake waache kutumia uchi wao kama chanzo cha mapato badala yake wafanye kazi zingine ni kuwadhalilisha?

Yaani kwenye kufanya upuuzi una watetea ila matokeo ya upuuzi wao mnalazimisha na sisi tuyabebe?
 
Kila jinsia ipambane na hali yake mbona wanawake huwa hawajishughulishi na matatizo yetu?
Nikuulize, Kwenye maisha yako, pesa ukipata anafaidika nazo nani zaidi kati ya mwanamke na mwanaume na kwanini?
 
Hakuna aliye sema uwaponde bali nawasema midume inayo kuja kutetea makosa yanayo fanywa na wanawake.
 
Huwezi kumsifia mpenzi wako anapofanya vizuri?
Hivi umeisoma mada na kuielewa kweli mkuu?
Kusifia na kutetea ni vitu viwili tofauti kabisa mfano mtu unaweza kumtetea mtu kama ana onewa hapo uko sahihi.
Tatizo ni pale baadhi ya wanaume wanapo watetea hata wanapo fanya mambo ya kipuuzi.
 
Mkuu usikwazike na furaha ya mtu mwingine...
Kama futaha yako kuwa na mke mmoja ni wewe hvo furaha ya mwingine acha kama ilivyo
 
Mkuu unajitambua ww
 
Kallishi na wanawake kwa akili maana ni viumbe wanaorubunika kirahisi.
 
I concour, shetani aliona nini kwa mwanamke mpaka akaongee naye? Je, mwanamke hakuogopa kuongea na shetani kabisa? Aliwezaje kuthubutu kuzungumza nae? Hapana aiseee.
Mwanamke ndio kiumbe pekee mwenye uwezo wa kuzungumza na nyoka 😹 kwahiyo mkae mbali πŸ˜ƒ
 
Mambo gani unayafanya yasiyomhusisha mwanamke yanakufanya uone unazifaidi wewe mwenyewe?
Kwani mkuu nikitafuta pesa nika nunua nguo nzuri ninakuwa sijazifaidi pesa zangu?
Nikipata pesa nika nunua chakula kizuri sijazifaidi pesa zangu?
Nikipata pesa nikanunua gari kwa ajili ya usafiri ninakuwa sijazifaidi pesa,ila mpaka na mwanamke ahusike?
 
Ukajenga nyumba yako, ndani ukaweka 65 ya Hisense au Samsung huku una O
playstation au upo Netflix mbona maisha matamu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…