Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tunapendwa kunaswaNa ninajua mabaharia wanatumia nafasi ya kujifanya wanawatetea humu jf ili wawanase.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapendwa kunaswaNa ninajua mabaharia wanatumia nafasi ya kujifanya wanawatetea humu jf ili wawanase.
Hujaelewa nilichokiandika,Hakuna chochote kilicho nikuta bali nawachana nyinyi midume mnao jipendekeza kwa mamanzi.
Moja wapo ya dalili za mwanaume kuwa dhaifu ni kuendeshwa na nyege badala ya akili.
Mkuu hakuna sehemu nilipo sema kuwa mtu unaweza kuishi bila kumtegemea mwanamke.Hujaelewa nilichokiandika,
Nimeuliza hivi,
Hivi mwanaume aliyekamilika,anaweza kuishi bila kumuhitajia mwanamke?
Kwahiyo wewe unaamini kua kuwaponda wanawake wote ndio sio udhaifu?
Kwa sisi watu wazima,huu uzi wako umeonyesha udhaifu wako wewe bila wewe mwenyewe kujijua.
UpoiiWanabondwa vinyeo.
Wanapigwa Bolo la man to man.
Cc: Poor Brain secretarybird Extrovert Half american
Sipoi adi unipeUpoii
Mkuu hata thread yangu ya kuwasifia wanaume haujawahi kuiona?Kuna midume humu kazi yao ni kijipendeka kwa wanawake kwa kujifanya watetezi wa wanawake hasa kwenye mada zinazo ongea negative kuhusu wanawake, tena wengine wanafika hatua za kuanzisha mpaka thread za kuwatetea ,nataka niwaambie mnakera sana.
Mm nimeanza kuifuatilia JF mwaka 2017 na nikaja kufungua ID rasmi mwaka 2022 lakini sijawahi hata kwa bahati mbaya kuona comment au thread iliyo andikwa na mwanamke kwa ajili ya kuwatetea wanaume.
Hivi hapa duniani kuwa watu wanao pitia magumu zaidi ya wanaume ?
Mbona wanawake huwa hawajishughulishi na sisi ila sisi kutwa kukitia kiwatetea?
Unakuta lidume zima linaanzisha mada ,mara wanawake wasisemwe kwa sababu ni mama,dada,wake,shangazi zetu.
Aliye kwaambia mtu kuwa ndugu yako basi kunahalalisha kile anacho kifanya ni nani?
Hao wanawake wao hawana kaka,na baba zao mbona huwa hawajipendekezi na kujifanya watetezi wa wanaume?
Hata kwenye kampeni ya 50kwa50 ukiangalia ni midume ndo imeipa nguvu.
Mfano tuongelee kuhusu suala la single mother ,ikianzishwa mada yeyote itakayo ongelea hilo tatizo utashangaa midume inakuja mbio kutetea.
Ukimuuliza mbona una watetea atakwambia eti kwa sababu na mimi nina watoto wa kike,kwa hiyo kumbe tunatakiwa kuutetea hata ujambazi kwa sababu wenda watoto wetu siku moja wanaweza kujikuta wanakuwa majambazi sio?
%98 ya matatizo waliyo nayo wanawake hawa wa kisasa chanzo ni wao wenyewe hivyo ni lazima wasemwe maana wanafanya upumbavu mwingi alafu mizingo ambayo ni matokea ya upumba wao wanaenda kuwabebesha mizigo wazazi wao na ndugu zao.
Tena huo usingle mother mabinti baada ya kubarehe huwa wanautafuta kwa nguvu kweli kweli,nitakuja kuanzisha mada nyingine juu ya hili.
Wengine huwa wanafika mbali na kuuliza kuwa eti kwani mimba huwa wanajipa wenyewe?
Hivi mfano leo hii Makonda akija akakuta umekaa sehemu akaanza kukuchokoza ,kati ya ww na Makonda ni nani anatakiwa kumuepuka mwenzie ili msifikie hatua ya kupigana?
Jibu ni ww ndo unatakiwa kumuepuka maana ww ndo utalipa gharama kubwa juu ya ugomvi huo maana ukimpiga utaozea jera hali yakuwa yeye hata akikupiga hatofanywa chochote.
Mtu mwenye akili siku zote kabla ya kufanya kitu fulani huwa anapima ni gharama gani atalipa juu ya hicho anacho taka kutenda na sio kumtegemea huyo unaye fanya naye afikiri kwa ajili yake.
Binti kabla ya kumvulia chupi mwanaume tambua kuwa ww ndo utalipa gharama kubwa juu ya hicho unacho taka kukifanya,hivyo ni jukumu lako kufikiria iwapo utakuwa na uwezo wa kuzilipa hizo gharama na sio kumtegea mwanaume afikiri kwa
ajili yako.
Nini hikoSipoi adi unipe
Hiyo avatar sasa.Wanabondwa vinyeo.
Wanapigwa Bolo la man to man.
Cc: Poor Brain secretarybird Extrovert Half american
Soma comment yako namba 55Mkuu hakuna sehemu nilipo sema kuwa mtu unaweza kuishi bila kumtegemea mwanamke.
Rudia tena kuisoma mada yako vizuri,inaonekana uliiandika huku ukiwa na hasira.Mwanamke ni mama,dada,mke, mtoto lakini hilo haliwezi kutuzuia kuwasema pale wanapo zingua.
Na hakuna sehemu yeyote nilipo waponda wanaume wote.
Kuwaponda single maza wote haikubaliki,wapo single maza ni wazuri,so ukiponda single maza wote,ni lazima wenye ushuhuda wa single maza wazuri watakupinga tu,tatizo linakuja kama ukijumuisha single maza wote,Mfano mtu akileta mada kuhusu tatizo la single mother utashangaa watu wanakuja kusema kuwa usiwaseme kwa sababu wao ni mama zetu hapo ndo tatizo linakuja.
Mara ww sio mwanaume ni mvulana.
Hua hatudeal na makosa ya mtu kutokana na jinsia yake,makosa ni makosa tu,aliye kosea ataulizwa,atafahamishwa,atarekebishwa,kama harekebishiki ataachwa aende zake,life is too short,hakuna haja ya kuhangaika na mtu ambaye yeye mwenyewe hayupo tayari kubadilika,Yaani kwamba kwa sababu ni mama zetu ndo tuhalishe makosa yao?
picha ya mama mkwe wangu wa ujerumaniHiyo avatar sasa.
Wewe ni mtu dhaifu. Sio lazima useme kilichotokea. Maandishi yako yaliyojaa uchungu wa kutendwa na mwanamke ni ushahidi usiotia shaka. Wanawake ndo wanaotupa utamu lazima tuwatetee. Au na wewe unataka kuwa mwanamke ili tukutetee?Hivi kwenye mada nzima kuna sehemu inayo onesha kuwa nimezenguana na manzi ndio maana naandika haya,mbona unataka kutoka kwenye lengo la uzi?
Mimi nimeongelea watu kama nyinyi mnao watetea wanawake hata wanapo fanya mambo yasiyo kuwa sahihi.
Kwenye kupongezwa watapongezwa lakini wakizingua tukiwapiga sipana mnaaza kutuita wavulana na eti hatuheshimu wanawake.
Duh! Wanawake wako salama kweli around you?Hivi hapa duniani kuwa watu wanao pitia magumu zaidi ya wanaume ?
Mbona wanawake huwa hawajishughulishi na sisi ila sisi kutwa kukitia kiwatetea?
TshWataje hapa hapa mkuu tuwajue hao wanetu 😀 😀
Kwa mfano mimi huwa simtetei mwanamke Kwa maneno bali nampa kitu roho yake inapenda kwa bed ndo maana watoto wa kike huniita Bwana Utam.Wanabondwa vinyeo.
Wanapigwa Bolo la man to man.
Cc: Poor Brain secretarybird Extrovert Half american
Hayo unayajua ww kwa sababu umeyasema ww maana mm sijayasema hayo unayo lazimisha.Wewe ni mtu dhaifu. Sio lazima useme kilichotokea. Maandishi yako yaliyojaa uchungu wa kutendwa na mwanamke ni ushahidi usiotia shaka. Wanawake ndo wanaotupa utamu lazima tuwatetee. Au na wewe unatakwa kuwa mwanamke ili tukutetee?
Ww ni single mother mzoefu kwahiyo uko sahihi.Duh! Wanawake wako salama kweli around you?
Kuna kukosoana na kuna chuki, Hii yako ni chuki.. Mnajiumiza bure kubeba chuki kwa vitu ambavyo hamuwezi kuvicontroll.
Imagine kila mtu awe bitter kwa kila mtu kwasababu ya matatizo yake binafsi!
Hili andiko liliandikwa na mwanamume, Angeandika Mwanamke probably story ingekuwa tofauti.. aliyeandika historia hata ya dunia alijipendelea.Mwanamke ndie trouble maker duniani. Aliongea na shetani kabisaaaa kitu ambacho kwa mwanaume hakijatokea.