Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Hizo mimba wanajipa wenyewe? Ndugu ITR kama kuna manzi kakuzingua mpotezee. Mwanaume halisi ni kawaida kupitia misukosuko inayosababishwa na mwanamke mara mojamoja.
 
Hivi umeisoma mada na kuielewa kweli mkuu?
Kusifia na kutetea ni vitu viwili tofauti kabisa mfano mtu unaweza kumtetea mtu kama ana onewa hapo uko sahihi.
Tatizo ni pale baadhi ya wanaume wanapo watetea hata wanapo fanya mambo ya kipuuzi.
huwezi kumtetea mwanao hata kama kweli amekosea ili kumnusuru na adhabu ambayo imeandaliwa mbele yake? Haujawah tetewa katika hali ambayo unajua kabisa umekosea na kama kuna adhabu unapaswa kupewa ila kwa sababu ya utetezi unapona haujawah kukutana na hayo mazingira?
 
Haya maneno sio rahisi kusemwa na Mwanaume rijali ambaye anazo nguvu zote,
Dushe likisha simama,hizo nguo,Gari utaona ni takataka tu,

Kichwa cha chini kikiamka basi kichwa cha juu huacha kufanya kazi,
Sijui umri wako wala siyajui yaliyokufika,ila ukipumzika hasira zitaisha tu.
 
Mkuu kila kitu ki play part yake, sehemu ya ubaya watasemwa na sehemu ya uzuri watasemwa pia!.
japo mimi binafsi sipendi sana kulalamika kuhusu wanawake ila kimatendo!. mkuu sitaki kufika mbali huu uzi ni wa watoto.😁
 
Waowekabisa ili tujue unamaanisha.
siwezi kuwaoa.........

Ulimpenda single maza ukifikiri hutoombwa bills?

Ulimpenda ukifikiri ndo umefika mwisho na kutembea huwezi?

Ulimzalisha ukiwa huna nguvu ya kumshawishi mkeo una mtoto nje ya ndoa ukitegemea huyo mtoto ataenda wapi ?

Unachukia single maza alikuwekea sumu kwenye chakula ?
 
Nobody has time to read all that Bullcrap.

Mwanaume kuwaza mambo ya wanawake ni dalili ya upinde. Jitokeze tu.
Kuna senge jingine linaitwa Bufa linawaza tu kuhusu upinde muda wote.
 
Hizo mimba wanajipa wenyewe? Ndugu ITR kama kuna manzi kakuzingua mpotezee. Mwanaume halisi ni kawaida kupitia misukosuko inayosababishwa na mwanamke mara mojamoja.
Hivi kwenye mada nzima kuna sehemu inayo onesha kuwa nimezenguana na manzi ndio maana naandika haya,mbona unataka kutoka kwenye lengo la uzi?
Mimi nimeongelea watu kama nyinyi mnao watetea wanawake hata wanapo fanya mambo yasiyo kuwa sahihi.
Kwenye kupongezwa watapongezwa lakini wakizingua tukiwapiga sipana mnaaza kutuita wavulana na eti hatuheshimu wanawake.
 
Hakuna chochote kilicho nikuta bali nawachana nyinyi midume mnao jipendekeza kwa mamanzi.
Moja wapo ya dalili za mwanaume kuwa dhaifu ni kuendeshwa na nyege badala ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…