Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Members wote nawasalimu katika jina la JF,
Kuna mdau humu yeye hujisemea kwamba "Wanaume orignal tumebaki wachache" hii ina ka ukweli.
Huko mtaani vijana wa kiume wanashangaza sana, yaani kwa sasa nao pia wanataka kuwa "Warembo"
Baada ya dada zetu kusema wanapenda wanaume ma handsome, (achana na wenye hela) vijana wakaona isiwe shida:
Sasa;
~ Wanatumia zile dawa za nywele aina zote (zikiwemo zile za kufanya kamtelezo fulani, mimi sijui jina lake).
~ Wanatumia zile dawa za kupaua uso (zinazoleta uzungu flani).
~ Haya marosheni ya kufanya ninini n.k.
Kijana jiamini wewe! Acha kuwa "Kijana wa hovyo" kama anavyosema mdau mwingne wa hapa JF.
Neno "Tafuta pesa" hapa lisitumike kwa sababu wapo vijana wana pesa lakini na wao...
Aisee inaskitisha! Kuanzia leo "Jiamini"