Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

Yaani hata aibu huoni,
Mtu anajipodoaje akiwa mchafu???

Hebu ishini maisha yenu msipende kuchunguza wengine mtachelewa sana
wewe kama ni muuzaji wa hzo chemicals tulia tu wala usijari, kuwaambia ukweli hakufanyi waache kununua, kuwa na amani tu
alafu nimezungumzia wanaume
wewe jipodoe tu unukie mamaa sina shda nawe
 
Hayo ya Wanaume kutamaniana na Ushoga umeyaweka wewe, wala usimlishe maneno mtoa mada,

Akili yako inawaza ufirauni tu, kweli mitandao inaharibu wengi
Mwamba ushoga sijui kautolea wapi hahahahahaah
 
Yaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.

Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata kunisalimia. Af kidada kinajitetea kabisa eti muonekano sio tabia that guy loves me acha tu🤦🏽‍♀️ unatamani umlambe kofi. Baada ya mwaka unamuona na status za I am my child’s father and mother God is able😂😂😂 unamuuliza alie kua ana care ameenda wapi? Girls stop being stupid
 
Yaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.

Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata
una akili sana!!

hongera & asante kwa mchango wako wa thamani!
 
Yaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.

Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata kunisalimia. Af kidada kinajitetea kabisa eti muonekano sio tabia that guy loves me acha tu[emoji2362] unatamani umlambe kofi. Baada ya mwaka unamuona na status za I am my child’s father and mother God is able[emoji23][emoji23][emoji23] unamuuliza alie kua ana care ameenda wapi? Girls stop being stupid
Well said
 
Mkuu uchafu sio sifa, kuwa na ngozi ngumu kama Kobe ni chanzo Chaagonjwa ya muwasho
Jibu langu litaonekana kama tusi kwako, bas ngoja ninyamaze tu lakini elewa

usafi na kujipodoa havina mahusiano
 
Mkuu Wala usiogope maana kutoa jibu ambalo halitanipendeza nakuambia nishawai kwenda kwa mshikaji wangu mchafu nikabeba kunguni nilitumia miezi mingi sana kuwaondoa kwaiyo mnapotoa darasa muwe mnanyooka navutia na wajapan na culture Yao ya usafi
 
wewe umekuja na sera za usafi, mimi sijagusia chochote kuhusu usafi:
kama unatetea kujipodoa kwa kutumia egemeo la usafi basi umepotea!

mwanaume jiamini, kuwa wewe!
achana ufake fake! Wanawake wenyewe wanaelekea kuacha hzo mambo, kwa sasa wateja ni wanaume. bro!
 
Umeanza kupanic sasa [emoji16]
Tulia upewe ukweli,
Kwanza alokwambia vipodozi lazima viwe na chemical ni nani?? Acha ushamba, wewe kama umekomaa ngozi usiwalazimishe na wengine wawe hivyo,

#Tunza Ngozi yako ujanani usije ukaitwa mchawi uzeeni
 
Yaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.

Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata kunisalimia. Af kidada kinajitetea kabisa eti muonekano sio tabia that guy loves me acha tu[emoji2362] unatamani umlambe kofi. Baada ya mwaka unamuona na status za I am my child’s father and mother God is able[emoji23][emoji23][emoji23] unamuuliza alie kua ana care ameenda wapi? Girls stop being stupid
Unakuta mtu anakwijia hizo nywele zake mpaka aibu kuitikia salamu yake, mie wahivyo akijileta namwambia kabisa sina pakukuficha kwanza naona aibu kusimama na wewe
 
Mkuu Wala usiogope maana kutoa jibu ambalo halitanipendeza nakuambia nishawai kwenda kwa mshikaji wangu mchafu nikabeba kunguni nilitumia miezi mingi sana kuwaondoa kwaiyo mnapotoa darasa muwe mnanyooka navutia na wajapan na culture Yao ya usafi
Huyo ni mchafu sasa, kuna watu kuoga ni mtihani akikupita hapa na hilo jua lenu la Dar uwii[emoji87][emoji87][emoji87] utazani kunduchi
 
Back
Top Bottom