Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

Yaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.

Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata kunisalimia. Af kidada kinajitetea kabisa eti muonekano sio tabia that guy loves me acha tu[emoji2362] unatamani umlambe kofi. Baada ya mwaka unamuona na status za I am my child’s father and mother God is able[emoji23][emoji23][emoji23] unamuuliza alie kua ana care ameenda wapi? Girls stop being stupid
WEW NDIO MWANAMKE HALISI

Nimeandiaka kwa herufi kubwa kukupa msititizo ameongea ukweli mtu

Tatizo linakuja nyie mlioko hvyo mko wachache snaaa na pia upatikanaji wenu Ni nadra kwa Sanaa

Barikiwa Sana mtoto wangu atakuja kuoa kwako [emoji23]
 
😂😂😂sawa mkwe karibuni sana.

Kuna mda huwa tunalaumu wababa wote kiujumla ila tunasahau kwamba kwenye msafara wa mamba na kenge wamo.

Wakaka mnaotunza familia zenu mkinikuta nasuuza wakaka waliotelekeza familia zao muelewe tu kwamba kuna kundi nalilenga nikijumuisha na hao wanawake waliozaa nao. Kwa mnaopambana na kujitahidi jueni mnawakilishwa na shemeji huku kongole kwenu👏🏼

Pesa sio kigezo. Tuache kupenda vile vijitu vyenye timber(sijui ndo ndevu zimeanzia kwenye utosi hadi kidevuni) mtu anashinda kindondoni kwenye maduka ya iphone kutwa na sio duka lake😂
 
mpendaamanitanzania
WEW NDIO MWANAMKE HALISI

Nimeandiaka kwa herufi kubwa kukupa msititizo ameongea ukweli mtu

Tatizo linakuja nyie mlioko hvyo mko wachache snaaa na pia upatikanaji wenu Ni nadra kwa Sanaa

Barikiwa Sana mtoto wangu atakuja kuoa kwako [emoji23]
azae wengi maana ata mimi nataka nifuatilie ili kujua ni mkazi wa wapi!

huyu mahali milioni 3 si kitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkwe karibuni sana.

Kuna mda huwa tunalaumu wababa wote kiujumla ila tunasahau kwamba kwenye msafara wa mamba na kenge wamo.

Wakaka mnaotunza familia zenu mkinikuta nasuuza wakaka waliotelekeza familia zao muelewe tu kwamba kuna kundi nalilenga nikijumuisha na hao wanawake waliozaa nao. Kwa mnaopambana na kujitahidi jueni mnawakilishwa na shemeji huku kongole kwenu[emoji1376]

Pesa sio kigezo. Tuache kupenda vile vijitu vyenye timber(sijui ndo ndevu zimeanzia kwenye utosi hadi kidevuni) mtu anashinda kindondoni kwenye maduka ya iphone kutwa na sio duka lake[emoji23]
[emoji23][emoji23] nimefurahi pale ulivyo Seema kuwa hata salamu tu za wale vijana uanaona kero mm binafsi sitakagi mazoe nao kwa ujumla viduku hvyo
 
@mtanzaniahalisi
azae wengi maana ata mimi nataka nifuatilie ili kujua ni mkazi wa wapi!

huyu mahali milioni 3 si kitu
Sahihi kbsa ,mm hata sitaki kujuwa kabila lake ila kwa akili zake nimemuelewa Sana [emoji38]
 
Sahihi kbsa ,mm hata sitaki kujuwa kabila lake ila kwa akili zake nimemuelewa Sana [emoji38]
mkuu goroko77, samahani je nikisemema ajengewe sanamu pale stand ya JPM, nitakuwa nimetukana?
naomba unijibu kabla hajasoma hapa ili kama vipi nifute,
 
[emoji23][emoji23] nimefurahi pale ulivyo Seema kuwa hata salamu tu za wale vijana uanaona kero mm binafsi sitakagi mazoe nao kwa ujumla viduku hvyo
Vya nini mimi🤣🤣🤣hata akiniangalia ntajiuliza kanichukuliaje🤣
 
Kuna kuwa msafi au mtanashati na kua mrembo wa kiume hapa ndo utawakuta wenye kujichubua n.k n.k
Kujichubua hakukubaliki kwa wote, Me na Ke, hakuna asiyejua madhara ya kujichubua,

Kua Mtanashati ambako wenzio ndio wanatafsiri urembo hakuna shida yoyote kwa Mwanaume,

Mwanaume apendeze anukie,

#Say No kunuka kibeberu.
 
Dream Queen, pale niliposema kujichubua ni KUJICHUBUA kweli, usiniambie kwamba nimechukulia utanashati kama kujichubua.!

wanaume ninaowazungumzia sio watanashati tu, wanataka utanangozi

ifike mahala ukubali tu kama huwajuwi, mimi nawajua
 
Hapa watakuja wajuba watasema kupauka hadi makalio ndio uanaume [emoji276]
 
Kuna watu bado wanaishi 2022 ila akili zao bado zipo 1980,kwamba sifa za mwanaume kunuka kikwapa,kunuka mdomo,kunuka viatu,kupauka mwili n.k
 
Back
Top Bottom