nyamatongo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 492
- 664
Amini ukipata pesa unang'aa bila kujipodoa bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninyi hamko pwani, mko puani wala hamjijuwi okUshamba wenu wa mikoani msituletee pwani..Huku watu kuwa smart kawaida
umenena vyema mkuu!Amini ukipata pesa unang'aa bila kujipodoa bro.
Wee ndio mm kbsa sabuni Hadi jamaa naogea kbsaaaMwanaume kwnz unatakiw kuwa na mafuta ya aina moja tuh
Usha zeeka dad au una miak 50Ukizeeka ndio utajua umuhimu wa kutunza ngozi yako lakini utakua umeshachelewa halafu wa rika lako uliokua unawashangaa wanajipaka vipodozi wanapendeza nyuso zao hazina makunyanzi
WEW NDIO MWANAMKE HALISIYaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.
Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata kunisalimia. Af kidada kinajitetea kabisa eti muonekano sio tabia that guy loves me acha tu[emoji2362] unatamani umlambe kofi. Baada ya mwaka unamuona na status za I am my child’s father and mother God is able[emoji23][emoji23][emoji23] unamuuliza alie kua ana care ameenda wapi? Girls stop being stupid
Hakika huyu bint au dad anjitambua mno mnoUbarikiwe wewe na waliokulea!
ikiwa wanawake wote wangekuwa na akili kama wewe, huenda Tz bado tungekuwa na uchumi wa kati!!
😂😂😂sawa mkwe karibuni sana.WEW NDIO MWANAMKE HALISI
Nimeandiaka kwa herufi kubwa kukupa msititizo ameongea ukweli mtu
Tatizo linakuja nyie mlioko hvyo mko wachache snaaa na pia upatikanaji wenu Ni nadra kwa Sanaa
Barikiwa Sana mtoto wangu atakuja kuoa kwako [emoji23]
azae wengi maana ata mimi nataka nifuatilie ili kujua ni mkazi wa wapi!WEW NDIO MWANAMKE HALISI
Nimeandiaka kwa herufi kubwa kukupa msititizo ameongea ukweli mtu
Tatizo linakuja nyie mlioko hvyo mko wachache snaaa na pia upatikanaji wenu Ni nadra kwa Sanaa
Barikiwa Sana mtoto wangu atakuja kuoa kwako [emoji23]
[emoji23][emoji23] nimefurahi pale ulivyo Seema kuwa hata salamu tu za wale vijana uanaona kero mm binafsi sitakagi mazoe nao kwa ujumla viduku hvyo[emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkwe karibuni sana.
Kuna mda huwa tunalaumu wababa wote kiujumla ila tunasahau kwamba kwenye msafara wa mamba na kenge wamo.
Wakaka mnaotunza familia zenu mkinikuta nasuuza wakaka waliotelekeza familia zao muelewe tu kwamba kuna kundi nalilenga nikijumuisha na hao wanawake waliozaa nao. Kwa mnaopambana na kujitahidi jueni mnawakilishwa na shemeji huku kongole kwenu[emoji1376]
Pesa sio kigezo. Tuache kupenda vile vijitu vyenye timber(sijui ndo ndevu zimeanzia kwenye utosi hadi kidevuni) mtu anashinda kindondoni kwenye maduka ya iphone kutwa na sio duka lake[emoji23]
Sahihi kbsa ,mm hata sitaki kujuwa kabila lake ila kwa akili zake nimemuelewa Sana [emoji38]@mtanzaniahalisi
azae wengi maana ata mimi nataka nifuatilie ili kujua ni mkazi wa wapi!
huyu mahali milioni 3 si kitu
Vya nini mimi🤣🤣🤣hata akiniangalia ntajiuliza kanichukuliaje🤣[emoji23][emoji23] nimefurahi pale ulivyo Seema kuwa hata salamu tu za wale vijana uanaona kero mm binafsi sitakagi mazoe nao kwa ujumla viduku hvyo
Kujichubua hakukubaliki kwa wote, Me na Ke, hakuna asiyejua madhara ya kujichubua,Kuna kuwa msafi au mtanashati na kua mrembo wa kiume hapa ndo utawakuta wenye kujichubua n.k n.k
Waambie hao,Ushamba wenu wa mikoani msituletee pwani..Huku watu kuwa smart kawaida
Kweny daladala watu wananuka kama mbuzi ,ukiwa smart ni fresh zaidi hata maiti inaoshwa na kupakwa manukato then inaenda kuzikwa sembuse mtu ambaye yuko hai.Waambie hao,
Mtu anajisifia kutumia sabuni ya jamaa na kutokupaka mafuta, akupitie karibu hilo jasho lake unaweza ukapoteza fahamu.