Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
- Thread starter
- #41
kwani knachokuuma nini kwa mfano?Yaani hata aibu huoni,
Mtu anajipodoaje akiwa mchafu???
Hebu ishini maisha yenu msipende kuchunguza wengine mtachelewa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani knachokuuma nini kwa mfano?Yaani hata aibu huoni,
Mtu anajipodoaje akiwa mchafu???
Hebu ishini maisha yenu msipende kuchunguza wengine mtachelewa sana
Acha ujuha ...Mimi nina mafuta mawili tu ya nywele na mwili nivea na movitMwanaume kwnz unatakiw kuwa na mafuta ya aina moja tuh
wewe kama ni muuzaji wa hzo chemicals tulia tu wala usijari, kuwaambia ukweli hakufanyi waache kununua, kuwa na amani tuYaani hata aibu huoni,
Mtu anajipodoaje akiwa mchafu???
Hebu ishini maisha yenu msipende kuchunguza wengine mtachelewa sana
Mwamba ushoga sijui kautolea wapi hahahahahaahHayo ya Wanaume kutamaniana na Ushoga umeyaweka wewe, wala usimlishe maneno mtoa mada,
Akili yako inawaza ufirauni tu, kweli mitandao inaharibu wengi
una akili sana!!Yaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.
Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata
Well saidYaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.
Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata kunisalimia. Af kidada kinajitetea kabisa eti muonekano sio tabia that guy loves me acha tu[emoji2362] unatamani umlambe kofi. Baada ya mwaka unamuona na status za I am my child’s father and mother God is able[emoji23][emoji23][emoji23] unamuuliza alie kua ana care ameenda wapi? Girls stop being stupid

Mkuu, wapi naweza pata haya mazaga na bei zake mkuu?~ Wanatumia zile dawa za nywele aina zote (zikiwemo zile za kufanya kamtelezo fulani, mimi sijui jina lake).
~ Wanatumia zile dawa za kupaua uso (zinazoleta uzungu flani)
Jibu langu litaonekana kama tusi kwako, bas ngoja ninyamaze tu lakini elewaMkuu uchafu sio sifa, kuwa na ngozi ngumu kama Kobe ni chanzo Chaagonjwa ya muwasho
Mkuu Wala usiogope maana kutoa jibu ambalo halitanipendeza nakuambia nishawai kwenda kwa mshikaji wangu mchafu nikabeba kunguni nilitumia miezi mingi sana kuwaondoa kwaiyo mnapotoa darasa muwe mnanyooka navutia na wajapan na culture Yao ya usafiJibu langu litaonekana kama tusi kwako, bas ngoja ninyamaze tu lakini elewa
usafi na kujipodoa havina mahusiano
wewe umekuja na sera za usafi, mimi sijagusia chochote kuhusu usafi:Mkuu Wala usiogope maana kutoa jibu ambalo halitanipendeza nakuambia nishawai kwenda kwa mshikaji wangu mchafu nikabeba kunguni nilitumia miezi mingi sana kuwaondoa kwaiyo mnapotoa darasa muwe mnanyooka navutia na wajapan na culture Yao ya usafi
Daa huyu kama kambale aliyekosa moto vizuri.Uzi bila picha ni UZUSHIView attachment 2431965
Unakuta mtu anakwijia hizo nywele zake mpaka aibu kuitikia salamu yake, mie wahivyo akijileta namwambia kabisa sina pakukuficha kwanza naona aibu kusimama na weweYaani wadada kuna mda ni kama wamechanganyikiwa. Unakuta kabisa mwanamke na akili zake anavua nguo anamzalia mwanaume anavaa hereni, anavaa suruali imekata chini ya mselele, mwanaume anatembea anadunda. Yani dume linalamba lips kutwa kucha af baadae anakuja kukwambia ye ni single mom. Dada uliyajua kabla hujabeba mimba kuzaa na handsome. Wanawake tujielewe aisee.
Mimi wale wanaume wanaovaa vinjunga, wanavaa socks na zile flippers, tattoo kila sehemu, nywele zimechambuka kama fagio la bar. Aisee usije hata kunisalimia. Af kidada kinajitetea kabisa eti muonekano sio tabia that guy loves me acha tu[emoji2362] unatamani umlambe kofi. Baada ya mwaka unamuona na status za I am my child’s father and mother God is able[emoji23][emoji23][emoji23] unamuuliza alie kua ana care ameenda wapi? Girls stop being stupid
Huyo ni mchafu sasa, kuna watu kuoga ni mtihani akikupita hapa na hilo jua lenu la Dar uwii[emoji87][emoji87][emoji87] utazani kunduchiMkuu Wala usiogope maana kutoa jibu ambalo halitanipendeza nakuambia nishawai kwenda kwa mshikaji wangu mchafu nikabeba kunguni nilitumia miezi mingi sana kuwaondoa kwaiyo mnapotoa darasa muwe mnanyooka navutia na wajapan na culture Yao ya usafi
Ndo wanaume sasaDaa huyu kama kambale aliyekosa moto vizuri.