Nakuhakikishia kama una Imani thabiti ya kiroho (sio kidini don't take me wrong) hawatoboi ng'oo mi nishatimua wawili wapo kwao wanambwela.
Utaratibu wangu mwanamke kabla sijaamua kumweka ndani huwa nampa misimamo yangu kabisa, kuwa Kuna makosa ntakusamehe ila Kuna makosa sintokusamehe milele amina, kama vile
1. Kucheat hiyo never
2. Kuniroga au kujaribu kuniroga, kwa sababu ntajua tuu, hiyo umeenda, msamaha wangu nikutolipiza kisasi ila sitotaka hata ukaribiane na Mimi usijekuniambukiza uchafu wako wa kiroho.
3. Unafki, ufitini na uongo hapo sina mjadala
Huu mwaka wa 4 Kila ninayempa hiyo misimamo anapotelea kusikojulikana, sijui kama bado wapo au wote wameona ushirikina ndo kimbilio.
Kama hawapo let me enjoy my every single penny till the end
No f*ck is given