Sasa tutajuaje kuwa hajawahi kutokea au hatotokea bila kujua sifa za mganga wa kweli anapaswa kuweje ili wote tuweze kufahamu kama kweli hajawahi kuwepo mtu mwenye sifa hizo na pengine hatowahi kutokea?
Kabisa hawana cha kuweka mezani wala kitandani, hawajiamini wanajua kuachwa nje nje kumbe wanaume tunataka heshima tu hayo mengine ziada, heshima nayo hana yaani mtu anaolewa akijua hana sifa yoyote na wala hakustahili hiyo nafasi ataacha kuroga