Wanaume mnaopenda Mpira

Kwa hapa umekosea, mama yangu mzazi ndie aliyenishawishi nipende kuangalia mpira nikiwa na miaka 8 japo mwenyewe haupendi hata kidogo ila aliniambia mwanaume asiyependa mpira hajakamilika.
Mmmh huyo madha naee[emoji4] [emoji4]
 
Etiii naongopa kwelii? ?

Alafu mpira wa home unajua ambavyo haunogiii ....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ukiambiwa uchague moja kati ya mpira na mama d wako
Utachagua nn?!
 
Sasa jee ...huyu husna analetaa mambo gani sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyiee mmekutana wote mashabiki ndio maana
 
Mpira ni jipuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…