Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Wapi tumesema mbona ni sura za babazetuNdio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi tumesema mbona ni sura za babazetuNdio
Sema acheni kuweka avatar nzuri nzuri zinatuchanganyaNa maisha ndio hayahaya ujue
Sasa mnachanganyikiwaje na mashangazi [emoji1787] nyie si mnataka pisi kali nendeni instaSema acheni kuweka avatar nzuri nzuri zinatuchanganya
Tunadhani personalities zinafanana na sura kumbe sio.Sasa mnachanganyikiwaje na mashangazi [emoji1787] nyie si mnataka pisi kali nendeni insta
Naam Naam ila hakikisha awe na chura hata kama ana sura ya kipekeeTunadhani personalities zinafanana na sura kumbe sio.
Sema uzuri mdada akiwa na sura personal anakuwa wa kwangu peke angu.
🤣🤣🤣🤣Naam Naam ila hakikisha awe na chura hata kama ana sura ya kipekee
😂😂Sema acheni kuweka avatar nzuri nzuri zinatuchanganya
😂😂😂Huku ndani Kuna manyanyaso[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu shagaaa jamani
Kwa avatar uliyoweka hapo wewe unadhani mwanaume mwenye akili timamu hajai😂
😀Atakuwa ana tatizo mwanaume unapendaje avatar ni matatizo ya akili 😀Kwa avatar uliyoweka hapo wewe unadhani mwanaume mwenye akili timamu hajai😂
🤣🤣AiseeWewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
🤣🤣Sasa hayo matatizo ndo kapona leo mtoa mada😀Atakuwa ana tatizo mwanaume unapendaje avatar ni matatizo ya akili 😀
Kwani uwongo?🤣🤣Aisee
Avatar kama hii naachaje kuzama PM.Kuna mtu kaangukiwa na kitu nzito [emoji23]
[emoji1787] shauri zenuAvatar kama hii naachaje kuzama PM.
Usitupangie mkuu, maisha ni kubet.