Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Niliwahi kuwasema nikapigwa ban , ukweli Ni kwamba hakuna mwanamke mzuri yupo huku ,, wanawake wazuri wako tiktok huko insta ,, ukishakuwa mwanamke huku kwenye jf garage Mara muda WOTE anachangia Amini nakwambia Ni beautyless , single mothers na over age
Wewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
 
Alafu hao wa tiktok ndo sisi tuko huku πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hizi tabia za kusengenyana, mimi nilijua walikuwa nazo wadada ila kwasisi wanaume, huku mbali sasa. Kama ulikataliwa siunajikataa kiume, mwanamke anakuwa affected sana na mitandao kuliko hata sauti yake tuachage uchuro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787] Kwahiyo unatushaurije sasa hivi sura zetu za baba halafu tuweke avatar mbaya hapana kwakweli pisi kali kazifate tu insta huku tumebaki mashangazi yako
πƒπšππš 𝐒𝐧𝐚𝐨𝐧𝐞𝐀𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐒 𝐩𝐒𝐬𝐒 𝐀𝐚π₯𝐒. 𝕹𝖆𝖔𝖒𝖇𝖆 π–“π–Žπ–π–šπ–•π–Šπ–“π–‰π–Š πŸ’—π–™π–š π–‘π–†π–π–Žπ–“π–Ž 𝖐𝖆𝖒𝖆 π–π–šπ–™π–”π–π–†π–‘π–Ž ☺
 
Wewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yamekukuta nn mkuu???[emoji56][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli mchungu ni kwamba

Wanawake wengi (asilimia kubwa) wa humu jf ni
-Jobless
-Hawana ndoa
-Hawana biashara
-Sio warembo wa sura
-wanakaa bado kwa wazazi wao

Wanaume wengi (asilimia kubwa)wa humu jf
-jobless kama mimi (hatuna kazi rasmi)
-Vipato vyetu ni vya kuunga unga (source moja wapo ya vipato vyetu ni kubeti)
-Tuna wapenzi wengi(wazinzi)
-Tunafake maisha nyuma ya simu

Hivyo basi eee kaka usidanganyike na avatar za hawa dada zetu na ewe dada usidanganyike na maneno ya hawa kaka zenu,Nakazia usivutiwe na maonyesho ya hapa jukwaani.

Hali ni ngumu mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…