Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Wanajihami siku hizi dungadunga wengi
 
Labda sehemu zenye baridi ila maeneo ya joto kuvaa maguo mengi sio mchongo.

Huwa nawashangaa wale wanavaa majuba wanajifunika gubigubi sijui huwa wanahisi vipi aisee, na unamkuta yupo kariakoo anasagulasagula na jua kali kishenzi.
 
Umenikumbusha mbali sana FUKUTO miaka ya 2000 - Kina Dr Cheni ,Nora Ngwizukulu ,Dokii.
 
Labda sehemu zenye baridi ila maeneo ya joto kuvaa maguo mengi sio mchongo.

Huwa nawashangaa wale wanavaa majuba wanajifunika gubigubi sijui huwa wanahisi vipi aisee, na unamkuta yupo kariakoo anasagulasagula na jua kali kishenzi.
Wanafunika hadi macho, miguuni soksi akitoka huko akirudi nyumbani amevunda na jasho
 
Kwangu mimi nikivaa boxer moja nikianza kuchati tu na demu wangu mashine inasimama nimeaibika sana mbele za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…