Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajihami siku hizi dungadunga wengiKaka zangu kujeni dada enu nawaita.
Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.
Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijaniπππ.
Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.
Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?
Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
ππππ
Tena ban ya maisha huo ni ushamba Kuna kipindi fulani jamaa alikuja kunielezea kuwa ananijua, watu walimjia juu sanaAah hapo ulikosea kweli, unasatahili BAN!!
Umenikumbusha mbali sana FUKUTO miaka ya 2000 - Kina Dr Cheni ,Nora Ngwizukulu ,Dokii.Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.
Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.
Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijaniπππ.
Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.
Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?
Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
ππππ
Wanafunika hadi macho, miguuni soksi akitoka huko akirudi nyumbani amevunda na jashoLabda sehemu zenye baridi ila maeneo ya joto kuvaa maguo mengi sio mchongo.
Huwa nawashangaa wale wanavaa majuba wanajifunika gubigubi sijui huwa wanahisi vipi aisee, na unamkuta yupo kariakoo anasagulasagula na jua kali kishenzi.
Na mikononi wanavaa glovesWanafunika hadi macho, miguuni soksi akitoka huko akirudi nyumbani amevunda na jasho
Kwangu mimi nikivaa boxer moja nikianza kuchati tu na demu wangu mashine inasimama nimeaibika sana mbele za watuKaka zangu kujeni dada enu nawaita.
Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.
Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijaniπππ.
Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.
Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?
Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
ππππ
Kalio sio kubwa kivile ila automatically inatokea nikichati nae au kuongea nae kwenye simu mashine inasimamaMuda wote unawaza ngono tu ety
Unawaza kalio lake
"...dunia sasa imani imekwisha" Marijan RajaabOooh kwa hiyo wanajilinda ππ
Hapa nimeelewa.
Mi kicheleee hewa ipite π€£Jamani mm siwezi lala bila kuvaa chochote loh!