Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Kwa mwanaume ambae hufanyi hizi labour day works anapaswa avae nguo ngumu ngumu za kuhakikisha zinamstili vizuri. Ndio maana utakuta mtu kavaa boxer, kaptula na suruali ama kaptula yenyewe na suruali na shati.

Kwa watu wa ofisini nguo za kuvaa ni 3 tu, boxer, suruali na shati tu. Siku ukivaa suti nguo ni 4 tu, boxer, suruali, shati na koti.
 
Unakuwa huna kazi au genye ndo inakufanya uangalie wanaume wamevaa nini ndani ya suruali
 
Umeeleza vizuri sana❀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…