Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kosa lolote umefanya, ni maoni kama wengine wanavyotoa kwa wengineNisamee kaka angu😊😊
Dunia mambo ni mengi sana vijana wa kiume tunawindwa mbaya mbovu kututoa jicho. Kingine ni ulinzi tu vijana tuna kazi nyingi nyimgine ni ngumu Suruali ikichanika jez ni ngumu sana kuchanikKaka zangu kujeni dada enu nawaita.
Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.
Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani🙆🙆🙆.
Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.
Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?
Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊
Ungesema ukweli tuuu. Kua alikuta na jamaaa,itachuku nusu saaa kuvua ili aingie kazinii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewwwww
Sasa uvae dela usiku si utahisi mnasutana? 😹😹Jana nilikuwa nacheka na mtu kuwa siku hizi kanga zimeisha bei tangu dela liingie mjini aisee dela limekuwa vazi la taifa.
Sina shida na dela maana limekuwa vazi jepesi tukiwa home tunajiachia na dela na skini taiti.
Daslam ni dela ya kyupi ati joto kali🤣 pia hakuna haja ya kuvaa bra kwenye dela labda wale wenye nyonyo zao kubwa ndo wanapambana na bra zao. Akina sie twajiachia.
Yaani dela halivaliwi ofisini na kanisani tu sehem nyingine zilizo baki ni fashion.
Msibani ni sare huko ndo kwenyewe.
Kuna kaka alinambia hili vazi la dela imekuwaje likageuzwa night dress? Akasema wanawake wanakera na kuvaa dela usiku you can relate lilivyo kubwa mkeo ndo kaja nalo kitandani.😆
Wanaume mulisema dela wavae wenye chura kubwa? Nani kasema? Tudada twembamba hamuoni tunavyopendeza na dela?
Dela limekuja purposely kuwasev vibonge🤭🤭
Wanawake tufanye mazoezi tusiruhusu mwili mkubwa ni aibu.
Sitakiii, labda useme ukweli woteee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nisamee kaka angu[emoji4][emoji4]
Inatusaidia kujstr maana sasa kama uboo upo kama ya punda unataka ikismama iwe matagazo au?Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.
Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.
Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani🙆🙆🙆.
Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.
Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?
Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊
Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.

Jana nilikuwa nacheka na mtu kuwa siku hizi kanga zimeisha bei tangu dela liingie mjini aisee dela limekuwa vazi la taifa.
Sina shida na dela maana limekuwa vazi jepesi tukiwa home tunajiachia na dela na skini taiti.
Daslam ni dela ya kyupi ati joto kali🤣 pia hakuna haja ya kuvaa bra kwenye dela labda wale wenye nyonyo zao kubwa ndo wanapambana na bra zao. Akina sie twajiachia.
Yaani dela halivaliwi ofisini na kanisani tu sehem nyingine zilizo baki ni fashion.
Msibani ni sare huko ndo kwenyewe.
Kuna kaka alinambia hili vazi la dela imekuwaje likageuzwa night dress? Akasema wanawake wanakera na kuvaa dela usiku you can relate lilivyo kubwa mkeo ndo kaja nalo kitandani.😆
Wanaume mulisema dela wavae wenye chura kubwa? Nani kasema? Tudada twembamba hamuoni tunavyopendeza na dela?
Dela limekuja purposely kuwasev vibonge🤭🤭
Wanawake tufanye mazoezi tusiruhusu mwili mkubwa ni aibu.
😂😂😂😂Miili mikubwa ni aibu kubwaJana nilikuwa nacheka na mtu kuwa siku hizi kanga zimeisha bei tangu dela liingie mjini aisee dela limekuwa vazi la taifa.
Sina shida na dela maana limekuwa vazi jepesi tukiwa home tunajiachia na dela na skini taiti.
Daslam ni dela ya kyupi ati joto kali🤣 pia hakuna haja ya kuvaa bra kwenye dela labda wale wenye nyonyo zao kubwa ndo wanapambana na bra zao. Akina sie twajiachia.
Yaani dela halivaliwi ofisini na kanisani tu sehem nyingine zilizo baki ni fashion.
Msibani ni sare huko ndo kwenyewe.
Kuna kaka alinambia hili vazi la dela imekuwaje likageuzwa night dress? Akasema wanawake wanakera na kuvaa dela usiku you can relate lilivyo kubwa mkeo ndo kaja nalo kitandani.😆
Wanaume mulisema dela wavae wenye chura kubwa? Nani kasema? Tudada twembamba hamuoni tunavyopendeza na dela?
Dela limekuja purposely kuwasev vibonge🤭🤭
Wanawake tufanye mazoezi tusiruhusu mwili mkubwa ni aibu.
Mimi nikitinga dela hadi waliobeba watoto wananiamkia😂Jana nilikuwa nacheka na mtu kuwa siku hizi kanga zimeisha bei tangu dela liingie mjini aisee dela limekuwa vazi la taifa.
Sina shida na dela maana limekuwa vazi jepesi tukiwa home tunajiachia na dela na skini taiti.
Daslam ni dela ya kyupi ati joto kali🤣 pia hakuna haja ya kuvaa bra kwenye dela labda wale wenye nyonyo zao kubwa ndo wanapambana na bra zao. Akina sie twajiachia.
Yaani dela halivaliwi ofisini na kanisani tu sehem nyingine zilizo baki ni fashion.
Msibani ni sare huko ndo kwenyewe.
Kuna kaka alinambia hili vazi la dela imekuwaje likageuzwa night dress? Akasema wanawake wanakera na kuvaa dela usiku you can relate lilivyo kubwa mkeo ndo kaja nalo kitandani.😆
Wanaume mulisema dela wavae wenye chura kubwa? Nani kasema? Tudada twembamba hamuoni tunavyopendeza na dela?
Dela limekuja purposely kuwasev vibonge🤭🤭
Wanawake tufanye mazoezi tusiruhusu mwili mkubwa ni aibu.
Sijapenda😂💔😂😂😂😂Miili mikubwa ni aibu kubwa
Hapo sawa☺️😍Sio ww wifi angu
Duuh, haya bwana umesikikaWanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊