Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Kwa mwanaume ambae hufanyi hizi labour day works anapaswa avae nguo ngumu ngumu za kuhakikisha zinamstili vizuri. Ndio maana utakuta mtu kavaa boxer, kaptula na suruali ama kaptula yenyewe na suruali na shati.

Kwa watu wa ofisini nguo za kuvaa ni 3 tu, boxer, suruali na shati tu. Siku ukivaa suti nguo ni 4 tu, boxer, suruali, shati na koti.
 
Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.

Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.

Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani[emoji134][emoji134][emoji134].

Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.

Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?

Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Unakuwa huna kazi au genye ndo inakufanya uangalie wanaume wamevaa nini ndani ya suruali
 
Kwa mwanaume ambae hafanyi hizi labour day works anapaswa avae nguo ngumu ngumu za kuhakikisha zinamstili vizuri. Ndio maana utakuta mtu kavaa boxer, kaptula na suruali ama kaptula yenyewe na suruali na shati.

Kwa watu wa ofisini nguo za kuvaa ni 3 tu, boxer, suruali na shati tu. Siku ukivaa suti nguo ni 4 tu, boxer, suruali, shati na koti.
Umeeleza vizuri sana❤️
 
Back
Top Bottom