Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Jana nilikuwa nacheka na mtu kuwa siku hizi kanga zimeisha bei tangu dela liingie mjini aisee dela limekuwa vazi la taifa.

Sina shida na dela maana limekuwa vazi jepesi tukiwa home tunajiachia na dela na skini taiti.

Daslam ni dela ya kyupi ati joto kali🀣 pia hakuna haja ya kuvaa bra kwenye dela labda wale wenye nyonyo zao kubwa ndo wanapambana na bra zao. Akina sie twajiachia.

Yaani dela halivaliwi ofisini na kanisani tu sehem nyingine zilizo baki ni fashion.

Msibani ni sare huko ndo kwenyewe.

Kuna kaka alinambia hili vazi la dela imekuwaje likageuzwa night dress? Akasema wanawake wanakera na kuvaa dela usiku you can relate lilivyo kubwa mkeo ndo kaja nalo kitandani.πŸ˜†

Wanaume mulisema dela wavae wenye chura kubwa? Nani kasema? Tudada twembamba hamuoni tunavyopendeza na dela?
Dela limekuja purposely kuwasev vibonge🀭🀭

Wanawake tufanye mazoezi tusiruhusu mwili mkubwa ni aibu.
 
Dunia mambo ni mengi sana vijana wa kiume tunawindwa mbaya mbovu kututoa jicho. Kingine ni ulinzi tu vijana tuna kazi nyingi nyimgine ni ngumu Suruali ikichanika jez ni ngumu sana kuchanik
 
Sasa uvae dela usiku si utahisi mnasutana? 😹😹
Mimi napenda kulala km nilivyokuja duniani uwa naenjoy sana.!!
 
Inatusaidia kujstr maana sasa kama uboo upo kama ya punda unataka ikismama iwe matagazo au?
 
Ivi ni kwa nini wadada wavaa dira wanalibana kiupande kidogo kwa kulishikilia au ndio kuforce vitako? hasa wembambaπŸ™„
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Miili mikubwa ni aibu kubwa
 
Mimi nikitinga dela hadi waliobeba watoto wananiamkiaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…