Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

LoveLovie naona huna love nao wenye double boxer 🀣
 
Kad
eti au jinszi unaweza kuvalia na boxer ila suruali ya kitambaa lazima uwe na boxer na bukta pia
 
Vest mbona hujaiwrka hapo?
Vest kama unaishi mazingira ya baridi angalau kuongeza joto ila kama unaishi Dar vest sio recommended kabisa maana inaingeza nguo mwilini na kuingeza joto. Unless uwe na kitambi maana vest wakati mwingine hutumika kama sidiria ya kitambi, kushikilia kitambi. Ila kama uko na normal build, nguo tatu tu yaani boxer, suruali na shati zinakutosha.
 
Sio mnachekeza mleta Mada kakosea kuwasilisha boxer sio pensi kuna boxer nguo ya kuvaa ndani na kuna pensi sijui unanielewa? Sasa mtu anaevaa boxer halafu akavaa pensi halafu akavaa tena jeans au cadet au suruali ya kitambaa huyu akapimwe akili
Sasa mtoa mada hakukosea kusema kanda ya ziwa. Mm nimewashuhudia mabodaboda, wajenzi, wabeba mizigo masokoni na hata wauza maduka, kuanzia chato, katoro,geita, sengerema ni kawaida yao kuvalia hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…