Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Yani vtu vya ajabu ajabu mara nyingi huwa mnaflame kwa lakeZoners, ama Mbeya ,Dodoma, Kigoma na Morogoro nayo ni lakeZone!?

Msipende kujifariji kupitia lakeZoners kubalini tu nyie ndio mambwiga wa hzo mbanga why flaming on us!? Magdaaamn
 
Bro mim pia ni mtu wa Lake zone nasema cz naona na nimechunguza Sana.
Huko kwingine si Sana kama huku aiseh
 
Bro mim pia ni mtu wa Lake zone nasema cz naona na nimechunguza Sana.
Huko kwingine si Sana kama huku aiseh
Haujatembea Mbeya huko mzee Mama otherwise you'll come back here to confess ,sikatai ni mazoea ya mtu but not all lakeZoners tunaweza kuvaa akna nguo wa ndani wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…