Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

Mkuu
Kwa mantiki hiya unausapoti?
 
Rape aina zote (labda baina ya wanandoa) tayari ina sheria zake.
 
Watajwe na wakamatwe na kufungwa kifungo cha maisha. Hii ndio itaondoa hii dhahama ya ushoga na ulawiti Tanzania

WATAJWE, WAKAMATWE NA WAFUNGWE JELA

ULAWITI, USAGAJI NA USHOGA HAUKUBALIKI TANZANIA
Na ambao hawajazaliwa bado je? Siungi mkono ushoga ila taaluma
 
Duuh.
 
Mbna sasa mashoga walio kwa ridhaa yao wana kamatwa na kukirishwa kusudi na kuwafunga 30yrs jela? Huku mabasha wakiachwaaa???

Hiyo sheria ni ipiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…