mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
- Thread starter
- #101
Hii nguvu ya kufatilia vitobo vya watu ungeitumia kwenye kupinga ufisadi binafsi yako ungekua maarufu sana kuliko hata Nyerere ila kwa sababu akili zako zinaonesha namna gani una upeo mfupi kama kuku unaamua kupiga mawe angani na unaamini yataumiza mawingu
Uwezo wako wa kufikiria umetoka kwenye utosi wako ukaishia puani
Wewe unaongea habari za ufisadi wakati bila kukomesha ushoga miaka michache ijayo hakuna uzazi, hakuna nguvu kazi wala hicho cha kuitwa ufisadi🙄🙄🙄
Jiongeze buana
Wewe mkubwa ujue