Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

Kunyeana mdomoni treinaah mkuu 🙌🙌!
 
Acha upumbavu dogo umeongea mavi Sana na dah Huna akili na utakuwa nayo mbinguni na duniani wahed
 
Mbna uanwataja tag watu una maana gani HV unaona nawew unaongea point sna eti wee Ni hovyo mno
 
Na wataitekeleza vipi hii sheria hasa baina ya mwanaume na mwanamke? Watakuja kuchungulia kama mnakula kiboga ndani mwenu?

Kuna wanawake wanaliwa bila ridhaa yao, sasa hivi washaenda kufungua majalada
Wanaume 40 yenu imefika
 
Mkuu kuna roho chafu ya kishetani inayosukuma haya mambo.......siyo jambo la kimwili tu kuna roho nyuma yake.

Ni kweli na hii roho lazima ipigwe vita kiroho
Na sheria za kuukataza mwili zichukue mkondo wake
 
Jibu ni rahisi. Utataja labda ndugu zako wanaoingiliana kinyume na maumbile.
Hii naongelea. Ndugu, jamaa na rafiki zako wanaokuzunguka. Na wengine huwezi wafahamu.
Wakamatishe hao, ila ujue wapo manguli kweli Kweli. Wanadunda na muda huu wanaferemba hotelini huko five star vijana wa vyuoni, na jioni wanaingia wengine chumba hiko hiko, wananunuliwa vinywaji wanaachwa, vijana wanaendelea na kuita sasa wenzao wanakulana tena hadi asubuhi check out.
MAMA D UMEFERI KWENYE HILO.
Embu lets stick on other things developmental. Hii opinion yako ni hell of a shit. Ushoga ushoga ushoga mnakera sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…