Bora na asiwasahau wale wanaovuta watu mikono mtu kama hataki kununua muache mnazingua,,,, na wale wanaosumbua watalii yani wabongo wakiona Mzungu tu wanajua ana hela basi atamganda wee na kingereza chake kibovu unamtajia mbuga sijui nini wenzenu kabla ya kuja huku wanasoma Raman sehemu zote na kuna article kwenye mtandao wenzao waliokuja huku wameeleza sehemu za kutembelea,,,pia wazungu wengi wanajua kiswahili sasa na sio wote wanapesa,wengine ni wanafunzi wanakuja kutembea tu,,,hii nimeona sehemu aibu niliona mimi yan tunaonekana watanzania wote tuna mambo ya ajabu.