Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.
Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.
Hivi nyie wengine mnawezaje?