Wanaume, mnapata wapi ujasiri wa kunywa pombe na kula nyama huku Nyumbani kwako umeacha bajeti hohehahe?

Hakikisha umevuka level ya kula kaya yako so fanya haya
1. Nunua vyakula wakati wa msimu wa mavuno kama mwezi huu wa 6, nunua chakula cha kutosha kaya kula miaka miwili.
2. Mahindi gunia moja ni 42,000 nunua mawili na usafiri itakuwa laki moja
2. Mpunga gunia ni 60,000 so nunua gunia 5 sawa na laki tatu
3. Dagaa mchele ndoo kubwa ni 50,000 nunua mbili haziharibiki hata miaka 3
4. Maharagwe gunia ni 120,000
5. Mkaa gunia ni 15,000 ukichukulia shamba
6. Chumvi ndoo kubwa 10,000
7. Jumla utatumia laki sita sawa na laki tatu kwa mwaka na elfu kumi kwa mwezi au sh mia tatu kwa siku
Baada ya hapo kaya itakula na kusaza kwa miaka miwili hivyo hutajibana kula mishikaki kisa hom no food or low budget, uliza swali kama hujaelewa
mkoa gan hapo mkuu gunia la mpunga 60,000
 
Maharage yana Protini na virutubisho bora zaidi kuliko nyama, kwahiyo ni mlo mzuri tu Kwa watoto nyumbani.
Aisee, sio kweli. Nyama ni bora zaidi. Halafu kula maharage kila siku sio vizuri. Inabidi ubadili milo ili upate virutubisho muhimu(micronutrients).

Protini za wanyama, mafuta mazuri(healthy fats) na nyuzi lishe(fiber) ni muhimu sana, vitasaidia watoto wasidumae.

Huwezi kuvipata hivi kwa wali ugali tu, lazima ubadili badili aina nyingi za vyakula.
 
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.

Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.

Hivi nyie wengine mnawezaje?
HII NI HATUA YA KWANZA YA KUBADILIKA MATENGENEZO
kuanza kujiuliza
1)Hivi hizi hela ninazo nywea pombe ,kuhonga kununua ngono,kula nyama peke yangu,kununulia chakula na pombe marafiki na ,kubeti kamari,na ANASA ZA DUNIA ...KUANZA KUJIHOJI hivi HAYA MAISHA YA ANASA ZA DUNIA yana FAIDA GANI kwangu na jamii yangu?mwisho wake hatima yangu ni NINI?
Hivi nikifa mwisho wake ni nini?
nitaishi hivi mpaka lini?
JE MUNGU anafurahishwa na TANIA ZANGU?
JE familia yangu inafutlrahishwa na TABIA YANGU

FAMILIA YANGU,JAMII YANGU,WAZAZI WANGU wanafaidishwa nini na ANASA ZANGU mimi mwenyewe hizi anasa za dunia zina faida gani kwangu??

pombe ,uzinzi,ulafi na UBINAFSI kujijali mwenyewe kuna faida gani kwangu.??

JE MUNGU WANGU ananionaje naonekanaje mbele ya Mungu wangu,je ?nampendeza Mungu wangu?

HIZI HELE NINAZOZITUMIA KWENYE ANASA.
si bora hata.
1)nimtumie mama yangu aliyenizaa kama nimekosa kabisa matumizi yake.
2)au hata nisaidie mayatima,masikini wasiojiweza,wahitaji wagonjwa mahospitali wanakufa kwa kushindwa kumudu kulipia gharama za matibabu,wengine wanakosa chakula,

2)UBINAFSI UNANISAIDIA NINI NA ULAFI kula nyama kilo moja peke yangu baa au hata kunywa vinywaji vya elfu hamsini au peke yangu?yani nakula laki moja nzima peke yangu?je mimi naingiza shilingi ngapi kwa siku?kama matumizi yangu ni laki moja kwa siku?
FAIDA YAKE NI NINI?
JE faida yake inazidi hasara zake.

SIKU UKIPATA MATATIZO familia yako bdiyo itakayosimama na wewe na wala sio hao marafiki zako na malaya unaokunywa nao na kula nao kwenye MAKUMBI YA STAREHE.
siku umelazwa kitandani HOI hujiwezi ndio utajua huna RAFIKI wa karibu zaidi ya FAMILIA YAKO.

MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO
1 Timotheo 5:8
Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.

1 Petro 4:8
Zaidi ya yote, dumuni katika upendo kwa maana upendo husitiri wingi wa dhambi

Waefeso 5:25-27
Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake kwa ajili yake ili alitakase.

UPENDO VS UBINAFSI(upendo hautafuti mambo yake binafsi )
1 Kor 13:4-8 SUV
BHN
SUV
Neno
SRUV
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
 
Attachments

  • images - 2026-06-18T112348.266.jpeg
    images - 2026-06-18T112348.266.jpeg
    37.1 KB · Views: 8
  • images - 2026-06-18T112425.747.jpeg
    images - 2026-06-18T112425.747.jpeg
    28.5 KB · Views: 10
  • images - 2026-06-18T112448.742.jpeg
    images - 2026-06-18T112448.742.jpeg
    51.6 KB · Views: 14
Unaenda kula outing peke yako nyumbani umewaachaje?unaenda kula laki moja peke yako ,nyumbani umewaachaje?unaingiza shilingi ngapi kwa siku?USIWAIGE WATU wengine wanaingiza pesa nyingi kwa masaa usi ige?
 
Attachments

  • images - 2026-06-18T112957.623.jpeg
    images - 2026-06-18T112957.623.jpeg
    48.6 KB · Views: 13
  • images - 2026-06-18T113017.398.jpeg
    images - 2026-06-18T113017.398.jpeg
    67.5 KB · Views: 11
  • images - 2026-06-18T113059.811.jpeg
    images - 2026-06-18T113059.811.jpeg
    56.1 KB · Views: 11
Hapo kwenye pombe tutakosana bure. Ndugu wewe fanya unachokijua na sio kuiga mambo. Pombe mtu kunishauri mimi naona kama anataka kunipanda kichwani. Fanya hivi ili twende sawa. Kwanza angalia unachoingiza then robo yake ubaki nayo wewe robo tatu iende home then hiyo robo tunza hadi ifike nusu ya unachaoingiza. Afu nunua nyago kubwa mbili nenda nazo home tunza yaani ziwe kama pambo tu ndani hata wife akileta mambo ya maombi wewe mwambie kama anaweza aombe hiyo nyago hadi iwe wine. Mcheke tu yaishe. Baada ya mda tena nunua nyingne njoo nayo home na sasa uanze kunywa mdogo mdogo usitusumbue.
 
Hahaha
 
Ni mtazamo tu! Sio wote wanafanya hivo, unaweza kula nyama sehemu na jamaa zako usitoe hata mia kama ambavyo nao ukiwa poa hawatoi na wanakula! Wanaume tunaishi kijamaa sana mkuu
 
acha mcheko bro kama huwezani achana nayo and you will survive. Mlevi hatupi nyama hata kama kuna hatari na mbwa pembeni watamsumbua lakin haachii piga ua. Jifunze unachokiweza tuangalie 7:7. Hata ikiwezekana nunua kilevi unachokipenda mkae ndani na familia tuifikie hiyo cku ya kujua pombe ipi n nzuri isiyohitaji nyama.
 
Aisee, sio kweli. Nyama ni bora zaidi. Halafu kula maharage kila siku sio vizuri. Inabidi ubadili milo ili upate virutubisho muhimu(micronutrients).

Protini za wanyama, mafuta mazuri(healthy fats) na nyuzi lishe(fiber) ni muhimu sana, vitasaidia watoto wasidumae.

Huwezi kuvipata hivi kwa wali ugali tu, lazima ubadili badili aina nyingi za vyakula.
Yeah kubadili lazima, wanakula wali maharage, ugali na tembele , hapo mlo kamili umekamilika 🤣
 
Kwanza si issue ya umiliki wa dushelele au papuchi.Jifunze kuwa na tahadhari na umakini kwa member yeyote na muda wowote.Unadhani ni kwa nini neno MKUU lilipendekezwa litumike zaidi JF?Uulizaji wako tu ulikuwa hauna heshima.
Kumbe kumewahi kuwa na mapendekzo ya kutumia neno mkuu.
Hakika jf ina mengi sana
 
Back
Top Bottom