Wanaume, mnapata wapi ujasiri wa kunywa pombe na kula nyama huku Nyumbani kwako umeacha bajeti hohehahe?

Wanaume, mnapata wapi ujasiri wa kunywa pombe na kula nyama huku Nyumbani kwako umeacha bajeti hohehahe?

Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.

Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.

Hivi nyie wengine mnawezaje?
Huyo anakupenda,Mimi ananiambia angenizaa na kunutumbukiza chooni!
 
Ukifanya hivi haina shida
Haina shida vipi wakati hakuorodhesha budget ya nyama?bar tunakula nyama michemsho ya samaki mkia etc bar hukuti mtu ameagiza ugali dagaa sijui wali maharage!

So kujaza ndani majunia ya mahindi sijui mtama mpunga na ndoo za dagaa hakumpi mtu assurance ya familia imekula vizuri anapokuwa bar akisosomola minyama.
 
Hiyo ni ndoa changa bila shaka!!

Hao unaowashangaa wanaenda bar kuvuta muda waepuke kelele za hao wake zao.

Migogoro imefanya watu hawajali tena kuhusu hilo.
 
Mtu asiyejali watu wanaoishi nyumbani kwake ni mbaya kuliko kafiri. Ukitaka kuondokana na wasiwasi kuhusu chakula nyumbani pambana ununue vitu kwa jumla. Achana na kwenda kwa mangi kununua mafuta ya kupikia ya kupima Tsh 200. Nunua dumu la lita 20. Unaweza kula vinono mtaani ukiwa na uhakika nyumbani pia wanaweza kujipikia wapendacho. Kusema kuacha kabisa kula kitimoto kwa Shirima ni ngumu sana. Kitimoto ya mtaani kwa kina Shirima ina ladha tofauti.. hata muziki wa kuusikilizia Bar huwa mtamu kuliko wa nyumbani.
 
Hakuna Mwanaume anayeweza kufanya uo ujinga,furaha ya Mwanaume wa kweli ni kuona familia yake inakula vizuri na kupata huduma zote tena kwa ubora kuliko hata yeye mwenyewe.

Hao unaowazungumzia hapa watakuwa ni wavulana au watu wenye Kiume tu.
 
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.

Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.

Hivi nyie wengine mnawezaje?
Roho mbaya hiyoo, mie kama baba wa kufikia ni bora nilale njaa ila watoto wa kufikia wakule vizuri sanaa
 
Jipende mwenyewe comrade, hawana shukrani wenzetu!!
Kabisa they don't care!!

Kuna mjinga mmoja anawaambia watoto wake kwamba "baba yenu kawakataa"wakati huo huo alienda kwa serikali za mitaa nyumba ipangishwe ili apate Kodi za kulea watoto baada ya break up!!

Sasa ni baba yupi aliejenga nae nyumba na ni yupi aliewakataa watoto!!
Why you are making this about women?
 
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.

Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.

Hivi nyie wengine mnawezaje?
Kwani pombe lazima unywe kreti Zima inategemea na budget yako kila mbuzi lazima ale kwa urefu wa
Kamba yake
 
Kwanza si issue ya umiliki wa dushelele au papuchi.Jifunze kuwa na tahadhari na umakini kwa member yeyote na muda wowote.Unadhani ni kwa nini neno MKUU lilipendekezwa litumike zaidi JF?Uulizaji wako tu ulikuwa hauna heshima.
Umemwandikia kwa heshima wakati he was trying to ragebait you sababu hakupenda ulichokuwa umeandika.

Unfortunately amekuita mwanamke, kitu ambacho hajapenda ni lazima kimeandikwa na mwanamke 🚮
 
Umemwandikia kwa heshima wakati he was trying to ragebait you sababu hakupenda ulichokuwa umeandika.

Unfortunately amekuita mwanamke, kitu ambacho hajapenda ni lazima kimeandikwa na mwanamke 🚮
Ashukuru leo ni Alhamisi nilienda misa ya masifu alfajiri.Kichaa kilinitoroka.Okay,tuachane na huyo.How is the day,boss?
 
Hapo kwenye pombe tutakosana bure. Ndugu wewe fanya unachokijua na sio kuiga mambo. Pombe mtu kunishauri mimi naona kama anataka kunipanda kichwani. Fanya hivi ili twende sawa. Kwanza angalia unachoingiza then robo yake ubaki nayo wewe robo tatu iende home then hiyo robo tunza hadi ifike nusu ya unachaoingiza. Afu nunua nyago kubwa mbili nenda nazo home tunza yaani ziwe kama pambo tu ndani hata wife akileta mambo ya maombi wewe mwambie kama anaweza aombe hiyo nyago hadi iwe wine. Mcheke tu yaishe. Baada ya mda tena nunua nyingne njoo nayo home na sasa uanze kunywa mdogo mdogo usitusumbue.
😅😅😅😅 Amen mtumishi!
 
Back
Top Bottom