RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Hakikisha unahemea kwanza utakavyokula mtaani pale kwako ndio unaenda kuvila!!Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.
Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.
Hivi nyie wengine mnawezaje?
Ukiamka nunua nyama,mayai n.k ndio ukale na hivyo uanvyotaka!!
Halafu ishu sio hiyo,ishu ni pale uatakapokuja kujua kwamba haijalishi juhudi zako zote ulizowahi kufanya kutunza familia lakini mama watoto wako at play down na kukusema vibaya kwa watoto wako!!
Very disappointing!
Timiza wajibu na usitarajie makubwa comrade!!