Wanaume, mnapata wapi ujasiri wa kunywa pombe na kula nyama huku Nyumbani kwako umeacha bajeti hohehahe?

Wanaume, mnapata wapi ujasiri wa kunywa pombe na kula nyama huku Nyumbani kwako umeacha bajeti hohehahe?

Mpunga hauliwi na wadudu, na mahindi kuna dawa unaweka yanadumu miaka
Acha ubahili we mvulana!!! Sijaongelea mpunga!!! Nimesema huwezi kununua Mchele, mahindi, maharage, dagaa in bulk (magunia) kwa familia ya watu wachache!!! Utawalisha wadudu!!!

Halafu eti unaweka dawa!!! Are you serious? Are you insane? Kwa matumizi ya nyumbani ya kila siku familia inatakiwa kula vitu fresh!!! Huna haja ya kununua mpunga wakati unaweza kununua kilo chache za mchele. Huna haja ya kununua mahindi gunia wakati unaweza kununua kilo chache za Unga!!!

Duh!! Sijui wewe ni kabila gani mbahili hivi wallah???!!!!
 
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.

Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.

Hivi nyie wengine mnawezaje?

MBONA HUSEMI PIA KUWA;
WANAUME NDIO WANAONGOZA KULA KWA MAMA NTILIE , na MIHOGO YA BARABARANI KULIKO WANAWAKE???
Turudi kwenye mada; kwa hivi vipato vya kuunga unga vya wanaume walio wengi; wenye huo uwezo kama wewe wa kuchoma kuku sijui mabata, nk pengine unaongelea idadi chini ya 20% ya wanaume wote
ila huonekana ni wengi sana kwa kuwa wanakula hadharani....
 
siri ni kujipenda tu na ubinafsi.
 
Hehee Mkuu hoja yangu sio kujua idadi ya watu wangapi wenye vipato kiasi gani, nimeongelea ule Ujasiri wa kula vizuri ili Hali familia yako( watoto na wake zako) umewaachia bajeti fungu.

Nafahamu kwa Tanzania hii wanakula vizuri si zaidi ya 25% na 90% ya hao wako Dar
 
Back
Top Bottom