Wanaume, mnapata wapi ujasiri wa kunywa pombe na kula nyama huku Nyumbani kwako umeacha bajeti hohehahe?

Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.

Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.

Hivi nyie wengine mnawezaje?
yani umezungumza fact aisee...yani hata mimi huwa najiuliza hivi nnavyo kula hivi na asubuhi sijapaacha fresh kihivyo nyumbani, naamua kupiga brake za mbele na kuamua kubeba na kwenda na masojo nyumbani no matter nipo na washkaji mpaka mda gani lakin jikoni lazima nijaribu kuzingatia take away ya la familia..
 
Ofcourse mpaka uwe umeunganika kiroho na familia yako, kuna wengine hawana habari😅
 
Hahahaa daah umeiweka vizuri Lakini angalau huyo amekuwa hajawaacha njaa
Haina shida vipi wakati hakuorodhesha budget ya nyama?bar tunakula nyama michemsho ya samaki mkia etc bar hukuti mtu ameagiza ugali dagaa sijui wali maharage!

So kujaza ndani majunia ya mahindi sijui mtama mpunga na ndoo za dagaa hakumpi mtu assurance ya familia imekula vizuri anapokuwa bar akisosomola minyama.
 
Why you are making this about women?
About 90 percent of you guys are very selfish in nature!
Very selfish I say!!
Unafikiri kama nature inge wa select ku own wealth na strength kama za men,unafikiri men tunge survive!!?

Hebu niambie ukweli kwasasa kinachowainpgiza kwenye ndoa ni kuwa na familia au economic perspective!!?baada ya kupata stability kiuchumi manatamani ndoa kama mwanzo au muwe huru tuwaachie majumba na watoto plus economic assets!!?

Out of a hundred 90 of you mnawaza kuwa huru kutoka kwenye kifungo au uongozi wa men kwenye ndoa baada ya uhuru wa kiuchumi!!

Super women wengi katika 10,8 ndoa ziliwashinda!!

Nenda ka observe hapo duniani uone ninachokiandika!!
 
You are very emotional and it’s not good for a man.

Umeandika mambo mengi sana ambayo hayahusiani na mada,

Fact checking: Binadamu wote ni selfish.. ni asili, Na selfishness inaanza kudevelop binadamu akiwa na miaka miwili 2, ukichunguza ndio kipindi ambacho mtoto anakuwa greed na anakuwa mzito kushare vitu.

However kitakachomtofautisha binadamu mmoja na mwingine likija suala la ubinafsi ni learned behavior kama Fairness, Empathy na social rules, here is to say selfishness sio gender based trait.

Haujajibu swali, why umeifanya hii post about women? Ulisoma ukaelewa post?
 
Vipi kuhusu watoto? Mleta mada hajazungumzia kitu chochote kuhusu kelele, amezungumzia maakuli.
Siyo kila kitu mpaka kizungumzwe,unatakiwa ujiongeze! Ndiyo maana ya mjadala hii siyo close-ended questionnaire

Walevi wengi wa kiume wanaoonekana kutojali kuhusu hilo ni vile kuna migogoro huko ndani.

Watoto?? Ni wahanga wa hiyo migogoro watakula kilichopikwa na mama yao!
 
Wow! Good.
 
You are very emotional and it’s not good for a man.

Umeandika mambo mengi sana ambayo hayahusiani na mada,

Fact checking: Binadamu wote ni selfish.. ni asili, Na selfishness inaanza kudevelop binadamu akiwa na miaka miwili 2, ukichunguza ndio kipindi ambacho mtoto anakuwa greed na anakuwa mzito kushare vitu.

However kitakachomtofautisha binadamu mmoja na mwingine likija suala la ubinafsi ni learned behavior kama Fairness, Empathy na social rules, here is to say selfishness sio gender based trait.

Haujajibu swali, why umeifanya hii post about women? Ulisoma ukaelewa post?
Kongole kwako mkuu, umezungumzia selfishness kwa namna bora sana
 
Back
Top Bottom