Wanaume, mnapata wapi ujasiri wa kunywa pombe na kula nyama huku Nyumbani kwako umeacha bajeti hohehahe?

Hakikisha umevuka level ya kula kaya yako so fanya haya
1. Nunua vyakula wakati wa msimu wa mavuno kama mwezi huu wa 6, nunua chakula cha kutosha kaya kula miaka miwili.
2. Mahindi gunia moja ni 42,000 nunua mawili na usafiri itakuwa laki moja
2. Mpunga gunia ni 60,000 so nunua gunia 5 sawa na laki tatu
3. Dagaa mchele ndoo kubwa ni 50,000 nunua mbili haziharibiki hata miaka 3
4. Maharagwe gunia ni 120,000
5. Mkaa gunia ni 15,000 ukichukulia shamba
6. Chumvi ndoo kubwa 10,000
7. Jumla utatumia laki sita sawa na laki tatu kwa mwaka na elfu kumi kwa mwezi au sh mia tatu kwa siku
Baada ya hapo kaya itakula na kusaza kwa miaka miwili hivyo hutajibana kula mishikaki kisa hom no food or low budget, uliza swali kama hujaelewa
Dagaa ndoo 3? Na chumvi ndoo kubwa 🤣🤣🤣
We jamaa weweee!
 
You are very emotional and it’s not good for a man.

Umeandika mambo mengi sana ambayo hayahusiani na mada,

Fact checking: Binadamu wote ni selfish.. ni asili, Na selfishness inaanza kudevelop binadamu akiwa na miaka miwili 2, ukichunguza ndio kipindi ambacho mtoto anakuwa greed na anakuwa mzito kushare vitu.

However kitakachomtofautisha binadamu mmoja na mwingine likija suala la ubinafsi ni learned behavior kama Fairness, Empathy na social rules, here is to say selfishness sio gender based trait.

Haujajibu swali, why umeifanya hii post about women? Ulisoma ukaelewa post?
Nimeyapenda maelezo yako,umetoa elimu ngumu kwa lugha rahisi.
 
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.

Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.

Hivi nyie wengine mnawezaje?
The same na kwangu aise, Mke na mtoto wangu nawapa Kipaumbele vibaya mno, Silagi nje ya home labda kama itoke kuna out ya Kiofisi.
 
Hakikisha umevuka level ya kula kaya yako so fanya haya
1. Nunua vyakula wakati wa msimu wa mavuno kama mwezi huu wa 6, nunua chakula cha kutosha kaya kula miaka miwili.
2. Mahindi gunia moja ni 42,000 nunua mawili na usafiri itakuwa laki moja
2. Mpunga gunia ni 60,000 so nunua gunia 5 sawa na laki tatu
3. Dagaa mchele ndoo kubwa ni 50,000 nunua mbili haziharibiki hata miaka 3
4. Maharagwe gunia ni 120,000
5. Mkaa gunia ni 15,000 ukichukulia shamba
6. Chumvi ndoo kubwa 10,000
7. Jumla utatumia laki sita sawa na laki tatu kwa mwaka na elfu kumi kwa mwezi au sh mia tatu kwa siku
Baada ya hapo kaya itakula na kusaza kwa miaka miwili hivyo hutajibana kula mishikaki kisa hom no food or low budget, uliza swali kama hujaelewa
Michele, mahind na maharage kwa magunia kwa matumizi ya nyumbani si yataliwa na wadudu!!!! Hapo ni kutesa familia sasa.
 
Hebu niambie ukweli kwasasa kinachowainpgiza kwenye ndoa ni kuwa na familia au economic perspective!!?baada ya kupata stability kiuchumi manatamani ndoa kama mwanzo au muwe huru tuwaachie majumba na watoto plus economic assets!!?
Asilimia ngapi ya wanaume duniani wana uchumi wa kuwafanya wanawake waingie kwenye ndoa kwa ajili ya economic perspective 🤔 RESILIENT KATO
 
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.

Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.

Hivi nyie wengine mnawezaje?
Tunapunguza financial stress
 
The same na kwangu aise, Mke na mtoto wangu nawapa Kipaumbele vibaya mno, Silagi nje ya home labda kama itoke kuna out ya Kiofisi.
No it’s okay kula nje ya home, ni sawa kuenjoy, ni sawa kunywa bia kama mtu anatumia. na pia usijisikie gulty unapojipongeza nje. You guys kwa kiasi kikubwa ndio mnatafutia familia pesa, mna deserve kuishi….. Mleta mada anazungumzia balance.

Ubarikiwe kwa kujali familia yako.
 
my dear watu humu ndani waongo wa kutupwa. Huyo anayesema hali nje ndo wanaojua chakula cha hotel flan ni kitamu, cha mama ntilie flani kinakua na chumvi nyingne nk. Yaani humu ni pahala pa kujipakulia minyama tu. Ushasikia mwanamme jf amesema ana shida ya kukujoa kitandani na wamo wengi tu humu ndani ila wanakuja na story za ati rafiki yangu, mdogo wangu, cjui nani yangu na niyeye mwenyewe. So dont believe kila kitu humu akili za humu zinajijua zenyewe.
 
Sisi tunasema ukweli wote
 
No it’s okay kula nje ya home, ni sawa kuenjoy, ni sawa kunywa bia kama mtu anatumia. na pia usijisikie gulty unapojipongeza nje. You guys kwa kiasi kikubwa ndio mnatafutia familia pesa, mna deserve kuishi….. Mleta mada anazungumzia balance.

Ubarikiwe kwa kujali familia yako.
Asante binti kiziwi, baba bora lanzima aipe furaha familia yake.
 
Asilimia ngapi ya wanaume duniani wana uchumi wa kuwafanya wanawake waingie kwenye ndoa kwa ajili ya economic perspective 🤔 RESILIENT KATO
Hujanielewa!!
Economic perspective haimaanishi kwamba kila mwanamme ni well off!bali mtakapoanzia Hadi kufika juu kiuchumi!ndipo sarakasi huanza!!
Imagine wewe let say ni chinga!ukapata Dem ukatia ndani,ukasema asikae TU nyumbani nimfungulie kibiashara Fulani!

Bahati nzuri kibiashara kikachanganya haswaaa!

Nini hutokea!!?8 out of ten Huwa wanaachika au migogoro huanza!!

Ndio maana wengi wetu ili angalau ku prolong duration ya ndoa tunadhibiti uchumi wa mwenza!!kitu ambacho sio poa!

Kesi nyingi sana zilizopo nyingi sana ni kuwa akishajipata na kiburi kinaanza then kama hupendi mashindano unaamua safari iishie njiani!!
 
Mwanaume nyumbani unarudi kujazilizia tuu we kula unakoshinda!
 
Back
Top Bottom