Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Unajua si wanaume wote ? RightNimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.
Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.
Hivi nyie wengine mnawezaje?
Inashangaza Sana mtu anachafua meza na Nyumbani kaacha bajeti ya mawazoKama watoto umegundua ulibambikiwa. Sio wako utafanyaje?
Ingawaje wanaume wengi bado wanaule ubinafsi na uchoyo kama wanawake. Hasa kwenye hayo mambo ya kulakula
Probox ndiyo inadharaulika hivyo? Aaaargh hebu muwasamehe!Hongera kwa kuwa na mke na watoto mbona hujasema unaendesha gari aina ya probox
Nonsense
Na hiyo 1300 iliyonaki ndio anampa Mtoto wake Kiraree akanunue maandazi chaiWananuliwa na marafiki. Mwanaume anaweza kutoka nyumbani na 2,000 na akarudi na 2000 yake huku ananukia nyama na yupo chakari.
Vilevile usishangae anatoka nyumbani na 100,000 na anarudi asubuhi na 1,300.
Na kwa kuwa umaskini ni atizo na Kipato ni kidogo huo ujasiri wa kutumbua minyama huku watoto umewaachia maandazi na maharage unatoka wapi?Chanzo kikubwa ni umasikini!
Familia nyingi zinahangaika kupata mlo wa siku tu, kwahiyo baba ukikaa sehemu unakula kitimoto nusu na ndizi inaonekana kama unafanya anasa,
wakati ni jambo la kawaida tu
Maharage yana Protini na virutubisho bora zaidi kuliko nyama, kwahiyo ni mlo mzuri tu Kwa watoto nyumbani.Na kwa kuwa umaskini ni atizo na Kipato ni kidogo huo ujasiri wa kutumbua minyama huku watoto umewaachia maandazi na maharage unatoka wapi?
Ukifanya hivi haina shidaHakikisha umevuka level ya kula kaya yako so fanya haya
1. Nunua vyakula wakati wa msimu wa mavuno kama mwezi huu wa 6, nunua chakula cha kutosha kaya kula miaka miwili.
2. Mahindi gunia moja ni 42,000 nunua mawili na usafiri itakuwa laki moja
2. Mpunga gunia ni 60,000 so nunua gunia 5 sawa na laki tatu
3. Dagaa mchele ndoo kubwa ni 50,000 nunua mbili haziharibiki hata miaka 3
4. Maharagwe gunia ni 120,000
5. Mkaa gunia ni 15,000 ukichukulia shamba
6. Chumvi ndoo kubwa 10,000
Baada ya hapo kaya itakula na kusaza kwa miaka miwili hivyo hutajibana kula mishikaki kisa hom no food or low budget, uliza swali kama hujaelewa
Inashangaza Sana mtu anachafua meza na Nyumbani kaacha bajeti ya mawazo
mkuu wewe huwa unaacha bajeti nyumbani kwako kwa njia gani?Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.
Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata nililazimisha kula bata bado sipati furaha. Najikuta nabeba kilo zangu za vitoweo napeleka kulia Nyumbani na Mke wangu na wanangu.
Hivi nyie wengine mnawezaje?