Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Pia mmesahau kwamba 80% ya organizers wa kiume wa hizo marathon ni mabwabwa. In short kuna ushamba mwingi sana kwenye hizo marathon. Wanaokimbia marathon kiukweli ni wachache sanaa, the rest ni bendera fuata upepo.
 
Well lisemwalo lipo, kama halipo liko njiani na litatokea.
Aliimba pia mmoja wa wasanii wa mziki.

Mahusiano yawe ya ndoa ama uchumba ama urafiki ile ubestie yanataka uaminifu walau kwa asilimia 80 kama 100 zote hazipatikani. Na kwenye uaminifu huo yataka kila mmoja amuamini mwenzake hasa wanapokuwa mbalimbali.

Ukiona wanaotakiwa kuheshimiwa na watu wote (Ndoa naniheshimiwe na watu wote) wenyewe hawaiheshimu hiyo ndoa, wake kwa waume.

Basi ujue joto ni kali wanapunguza mgandamizo wa matukio waliyonayo ndani ya ndoa.

Aliimba mmoja wa wanamuziki.....

Mgeni ameingia hadi chumbanjnkwa baba na mama, mgeni huyu balaa...!!

Mgeni ni noma

Ha ha ha ha
 
Kwani akit*mbwa miye napungikiwa nini,papuchi zote hizi zinazozagaa zagaa mtaani kweli!

Tena hizi ndoa za Kikiristo ziliizojaa unafiki,acha tu wagongweshwe
Ujue hata mimi nashangaaga sana unakuta mtu anamkamia mke kama kichizi
 
Biashara ya kuchunga mke ilishakufa kama biashara ya kuchunga watoto wa kike...
Kila mtu ajichunge mwenyewe..
Akitaka kujiachia kazi kwake ...
Ukweli huwa unajulikana Tu mwishoni.
🤣🤣🤣 Kabisa
 
Aisee Mambo yanayoendelea Dodoma after marathon ni balaa.

Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything.

Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye rooms za hoteli.

Magari parking yanatingishika balaaa hahaha.

Ni balaaa.
Picha kidogo
 
Biashara ya kuchunga mke ilishakufa kama biashara ya kuchunga watoto wa kike...
Kila mtu ajichunge mwenyewe..
Akitaka kujiachia kazi kwake ...
Ukweli huwa unajulikana Tu mwishoni.
Na ukweli ukijulikana baadaye nini ufuata?.
 
Vijana wengi wanaoa wanawake ambao hawawezi kuwakataza kufanya yale wasiyoyataka na hata wakijaribu kukataza mwanamke anaenda kwa sababu sponsors wapo akirudi anaingia ndani ya nyumba mume akitingisha kiberiti kesho mwanamke anaamkia kwao kesho kutwa mahakamani wagawane mali.
Niko tayari kufia gerezani kuliko kukubali fedheha hii
 
Back
Top Bottom