Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Biashara ya kuchunga mke ilishakufa kama biashara ya kuchunga watoto wa kike...
Kila mtu ajichunge mwenyewe..
Akitaka kujiachia kazi kwake ...
Ukweli huwa unajulikana Tu mwishoni.
Sasa binti yako utamuacha tu atangetange mkuu? Walau uonyeshe sense ya kuwa unajali kwa kuongea na kukaripia. Otherwise watoto wanalalwa balaa, huku mitandaoni ni mauzo vs manunuzi na wazazi hawayajui haya.
 
Huwa tunaambiana kabisa kuwa Ya marathon yanabaki huko huko hayarudi Nyumbani hata story huwa hakuna mkisharudi mahome... huyu mbea katokea wapi naa tulishakubaliana mapema ukimya...
 
Kwani akit*mbwa miye napungikiwa nini,papuchi zote hizi zinazozagaa zagaa mtaani kweli!

Tena hizi ndoa za Kikiristo ziliizojaa unafiki,acha tu wagongweshwe
Mzee una perspective moja very very positive

Hutakaa upate pressure maishani

Maisha ya care free!

Ni nadra sana kwa sisi wanaume....especially me,I cant let that happen,najioneaga huruma tu siku ikinitokea obviously lazima nife na wao wafe,ndio maana tunawahi kufaga na mapressure!
 
Mzee una perspective moja very very positive

Hutakaa upate pressure maishani

Maisha ya care free!

Ni nadra sana kwa sisi wanaume....especially me,I cant let that happen,najioneaga huruma tu siku ikinitokea obviously lazima nife na wao wafe,ndio maana tunawahi kufaga na mapressure!
Pamoja sana mkuu,kikubwa ni uhai
 
Huu umbea wako kibaiolojia ni 100% true maana mazoezi huleta nyege.Kwa hiyo MKuu unatushaurije tuliowaruhusu wake zetu waende marasoni?
 
Kibasi ndio nini

Nashindwa kukielezea hapa, naomba mtu anayekimbia sana marathon na amekutana na hii style ya kibasi amueleweshe mdau tafadhali.

Ila ngoja nijaribu, ni kikundi cha wakimbiaji ambao wanakimbia pamoja kwa pace moja hawaachani, wanaanza pamoja wanamaliza pamoja. Maranyingi hawa wanafanyaga mazoezi pia pamoja ili kuhimilibpace yao. Huwa wanaimba huku wanakimbia au wanakuwa na kispika wanaweka miziki mbalimbali kupoteza uchovu.

Kinaitwa kibasi sababu wote mnaanza kituo kimoja mnashuka kituo kimoja pamoja, yaani mwanzo wa mbio hafi mwisho wa mbio.

Hawana lengo la kuwa mshindi wa kwanza au wa pili au watatu wao ni kukimbia na kufurahia mbio kama sehemu ya starehe aka starehe inayoumiza ila unaipotezea kama huumii vile...😅😅😅

Mfano ni kikundi cha vijana wanaofanyaga mazoezi ya kukimbia huku wamevaa jezi zenye nembo ya Wasafi.

That way...😉

Short story made long...🤦‍♀️🤦‍♀️🙄
 
Hata bila Marathon ukisikia mwanamke wako ana safari ya Dodoma sali sana. Siku hizi wadada wa mjini wamekuwa na safari nyingi za Dodoma kwenda kufanya umalaya. Mwanamke yeyote mwenye safari za Dodoma muepuke. Kama anapenda safari mkatie tiketi ya Majinja akatalii wilayani Kalambo na sio Dodoma.
Duuuh mkuu unajua Kalambo?
Ni kuzur hatariiii full barid kama Stockholm
 
Back
Top Bottom