Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

Pia mmesahau kwamba 80% ya organizers wa kiume wa hizo marathon ni mabwabwa. In short kuna ushamba mwingi sana kwenye hizo marathon. Wanaokimbia marathon kiukweli ni wachache sanaa, the rest ni bendera fuata upepo.
 

Mgeni ni noma

Ha ha ha ha
 
Kwani akit*mbwa miye napungikiwa nini,papuchi zote hizi zinazozagaa zagaa mtaani kweli!

Tena hizi ndoa za Kikiristo ziliizojaa unafiki,acha tu wagongweshwe
Ujue hata mimi nashangaaga sana unakuta mtu anamkamia mke kama kichizi
 
Biashara ya kuchunga mke ilishakufa kama biashara ya kuchunga watoto wa kike...
Kila mtu ajichunge mwenyewe..
Akitaka kujiachia kazi kwake ...
Ukweli huwa unajulikana Tu mwishoni.
🀣🀣🀣 Kabisa
 
Picha kidogo
 
Biashara ya kuchunga mke ilishakufa kama biashara ya kuchunga watoto wa kike...
Kila mtu ajichunge mwenyewe..
Akitaka kujiachia kazi kwake ...
Ukweli huwa unajulikana Tu mwishoni.
Na ukweli ukijulikana baadaye nini ufuata?.
 
Niko tayari kufia gerezani kuliko kukubali fedheha hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…